Utakuwa funza wa CCM wewe.Mbowe ndiyo hafai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakuwa funza wa CCM wewe.Mbowe ndiyo hafai
Usilolinua ni kua Mbowe alikimbilia Dubai baada ya kifo cha magufuli ndo akarudiWakati wa dhoruba baharia wenu Lisu alikimbilia Kwa waliomtuma.Baada ya Mbowe kupambana na kutuliza chombo eti hafai Bali anafaa aliyekimbia Nchi [emoji38][emoji38]
Upuuzi huu unaweza fanya na wajinga wa Chadema
Lisu nakuombea ushindwe uchaguziTundu Lissu amewataja baadhi ya viongozi na Wanachama wa CHADEMA ambao hawajatubu kwa Mwenyekiti wa Chama, Freeman Mbowe na anawashughulikia ipasavyo ndani ya Chama.
"Tukikutana hivi kwenye vikao hatupigani ngumi, hatuko kama tulivyokuwa mwanzoni. Mwenyekiti aliyekwenda gerezani, sio Mwenyekiti aliyetoka gerezani na huyo sio mimi peke yangu ninayesema hivyo, mimi sasa ni mhaini wa sasa, kulikuwa na mhaini anaitwa Peter Msigwa, kulikuwa na mhaini anaitwa John Heche, kulikuwa na mhaini anaitwa Godbless Lema, kulikuwa na mhaini anaitwa Gaston Garubindi, kulikuwa na mhaini anaitwa Ezekia Wenje kabla hajaenda kufanya Sala ya kitubio na kutubu dhambi zake kwa Baba yetu.....akisema nimekosa mimi, nimekosa sana ndio dhambi zake zikafutwa hao wengine niliowataja hawajatubu na wamekuwa wakishughulikiwa kweli kweli"
Soma, Pia: Mbowe amvaa Dkt. Slaa kisa Tundu Lissu, adai "mpiga debe wa CCM hapaswi kutufundisha CHADEMA"
Tundu Lissu amewataja baadhi ya viongozi na Wanachama wa CHADEMA ambao hawajatubu kwa Mwenyekiti wa Chama, Freeman Mbowe na anawashughulikia ipasavyo ndani ya Chama.
"Tukikutana hivi kwenye vikao hatupigani ngumi, hatuko kama tulivyokuwa mwanzoni. Mwenyekiti aliyekwenda gerezani, sio Mwenyekiti aliyetoka gerezani na huyo sio mimi peke yangu ninayesema hivyo, mimi sasa ni mhaini wa sasa, kulikuwa na mhaini anaitwa Peter Msigwa, kulikuwa na mhaini anaitwa John Heche, kulikuwa na mhaini anaitwa Godbless Lema, kulikuwa na mhaini anaitwa Gaston Garubindi, kulikuwa na mhaini anaitwa Ezekia Wenje kabla hajaenda kufanya Sala ya kitubio na kutubu dhambi zake kwa Baba yetu.....akisema nimekosa mimi, nimekosa sana ndio dhambi zake zikafutwa hao wengine niliowataja hawajatubu na wamekuwa wakishughulikiwa kweli kweli"
Soma, Pia: Mbowe amvaa Dkt. Slaa kisa Tundu Lissu, adai "mpiga debe wa CCM hapaswi kutufundisha CHADEMA"
Sidhani kama wakijani wanafurahia vita hivi badala yake wapo confused.Mh huu mtifuano unatukumbusha ile methali
Vita vya panzi furaha kwa kunguru
Watu wa kijani naona meno yote nje kwa kicheko
Mzuri wa kuongea vitendo sasa?
Awewahi fanikiwa nini kwenye siasa za upinzani toka 1995,?Umejua je? Kwani wewe ni nabii?
Fanikio la lisu ni Moja tuu!!! Sema ukilitaja unageukwa!!!Awewahi fanikiwa nini kwenye siasa za upinzani toka 1995,?
Singida anakotoka wabunge wa upinzani alikuwa yeye na dada ake ea viti maalumu
Wenzake wote wanaongeza Majimbo na kuhakikisha wanagawana na CCM das kwa das . Yeye ni SM pekee.
Dodoma ndio hakuna hata jimbo moja.
Ana kitu chochote cha kuonyesha? Au anaiibanza kwenye mafanikio ya wengine.