B bagamoyo JF-Expert Member Joined Jan 14, 2010 Posts 24,941 Reaction score 28,869 Nov 18, 2023 #1 Nairobi, Kenya View: https://m.youtube.com/watch?v=UVkbMVnUkZw 2017 Uhuru Kenyatta na William Ruto 2015 Odinga na urafiki wake na Magufuli Odinga kuunga mkono siasa za mabavu za Magufuli Kabla ya hapo 2010 - 2012 ODM Raila Odinga Busara za Odinga Detention Siasa za kuumizana N.k
Nairobi, Kenya View: https://m.youtube.com/watch?v=UVkbMVnUkZw 2017 Uhuru Kenyatta na William Ruto 2015 Odinga na urafiki wake na Magufuli Odinga kuunga mkono siasa za mabavu za Magufuli Kabla ya hapo 2010 - 2012 ODM Raila Odinga Busara za Odinga Detention Siasa za kuumizana N.k
Crocodiletooth JF-Expert Member Joined Oct 28, 2012 Posts 20,561 Reaction score 24,428 Nov 18, 2023 #2 Tanzania sio nchi ya copy and paste, Tanzania tuna siasa zetu, tuna demokrasia yetu, ingawaje Tupo kwenye umoja wa nchi za kidemokrasia duniani lakini tujiendeshe kivyetu, as U. K, U. S and others nations.
Tanzania sio nchi ya copy and paste, Tanzania tuna siasa zetu, tuna demokrasia yetu, ingawaje Tupo kwenye umoja wa nchi za kidemokrasia duniani lakini tujiendeshe kivyetu, as U. K, U. S and others nations.
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Nov 18, 2023 #3 Kwenye mazishi ya Moi Waziri wetu Prof Kabudi aliwafundisha Kenya namna ya Kufanya Siasa bora za Kujitegemea Dr Ruto alikuwa akimsikiliza sana na kuchukua notes Ruto Ndiye Rais wa Kenya sasa
Kwenye mazishi ya Moi Waziri wetu Prof Kabudi aliwafundisha Kenya namna ya Kufanya Siasa bora za Kujitegemea Dr Ruto alikuwa akimsikiliza sana na kuchukua notes Ruto Ndiye Rais wa Kenya sasa