Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

Status
Not open for further replies.
Asavali hakutumiwa pesa za matibabu na ufisi ya Bunge, ambazo ni fedha za serikali, maana hawachelewi kusema ndizo zimenunulia hilo basi.

Sijui kama walionunua hilo basi, waliwauliza Chadema serious na critical demands zao ni nini, wakaambiwa ni basi, then wakapewa basi, au watoa zawadi walijiamulia tuu kujitolea zawadi, wakachagua kujitolea basi.

Kuelekea 2020, Chadema inahitaji sana misaada ya hali na mali ili iweze.
P
halijakidhi viwango vya matumizi kwa TZ maana mlango wa abiri kushoto hakuna.na kwa sheria za TZ abiria kushukia upande wa kulia ni hatari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana ndugu Pascally
Kuona ni kuamini, basi ndio hilo tumeliona, hakuhitaji kuhoji hiyo habari.
Sio rais Magufuli ndiye anayeruhusu mabasi yaingie au yasiingie, kama basi limekidhi viwango, litaruhusiwa kuingia, ali mradi litalipiwa kodi husika.
P.

In God we trust
 
Mkuu pole sana ila najua watakuelewa wachache sana
QC

CHADEMA acheni kutuumiza

CHADEMA ache kutuumiza mulianza na magwanda tumetengeneza ya kijani na meusi, baadaye mkaanza na helkopta hatukuwa nyuma tukapambana leo hii ni miaka helkopta yetu ilimuua mtu muhimu sana!

Mumeanza kuja na basi na sisi tutanunua basi ila sasa sijui basi letu litaondoka nani? Kwa sababu watanzania wanavutiwa na basi lenu wakati wa kampeni tutakodi hata kwa majirani wetu kenya! Haiwezekani sisi tukusanye kodi alafu vitu vizuri mumiliki nyie tutapambana sambamba na nyie.

In God we trust
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom