washa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2007
- 626
- 370
Sasa wewe nini kimekukera!....tulia ndugu, yajayo yanafurahisha..Tatizo ni nini sasa, hata JKT Oljoro wana basi pia. Bwembwe nyingine zinaonyesha level ya ujinga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa wewe nini kimekukera!....tulia ndugu, yajayo yanafurahisha..Tatizo ni nini sasa, hata JKT Oljoro wana basi pia. Bwembwe nyingine zinaonyesha level ya ujinga.
Waliompa like mtoa mada wana AKILI TIMAMU?Je wewe kwa kumsapot mtoa mada una AKILI TIMAMU?View attachment 1043979
The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Ha ha ha .mbavu zangu jamani umenichejesha
Sambaza sasa .acha wivu basi lenyewe Moja tuIkulu yuko JPM, tunasambaza zake akikagua flyover, reli, ndege nk
Watanzania waishio nchini Ubelgiji wamemzawadia mheshimiwa Tundu Lissu gari kama zawadi na pole kwa maswahibu yaliyomkuta
Asante watz wenzetu mnaoishi huko duniani kwa kujali utu.View attachment 1044004
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbowe keshawashiwa indicator na Lisu . Chadema ruzuku kibao hawajawahi nunua basi kama hilo mgonjwa ananunua na ana uwezo wa kushawishi wafadhili wanunue akiwa kwenye drip wakati watu wazima akina Mbowe,mdee,godbles Lema,sugu,mchungaji Msigwa,heche na Matiko wapo wapo tu.Chadema mpeni Lisu Uenyekiti chadema.Mgonjwa kama aweza Fanya haya watu wazima wapo wapo tu .Mfungasheni virago Mbowe
Wtateskaa sanaWatanzania waishio nchini Ubelgiji wamemzawadia mheshimiwa Tundu Lissu gari kama zawadi na pole kwa maswahibu yaliyomkuta
Asante watz wenzetu mnaoishi huko duniani kwa kujali utu.View attachment 1044004
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa wapenzi wa demokrasia popote walipo ulimwenguni lazima tumpongeze mh Lissu kwa kukubalika kwake duniani kote.
Mh amekabidhiwa basi jipya kabisa ili litumike kukiimarisha chama chetu pendwa cdm na watanzania wanao ishi ubelgiji hongereni sana ndugu zetu.View attachment 1043864
In God we trust
Ivi unajielewa kweli ww? Sasa mimi naumia nini wakati nataka John Pombe atolewe Ikulu???? Kwaiyo nikiona watu wa kumtoa wanapata vifaa na zana well then it is a good news!
Watanzania waishio nchini Ubelgiji wamemzawadia mheshimiwa Tundu Lissu gari kama zawadi na pole kwa maswahibu yaliyomkuta
Asante watz wenzetu mnaoishi huko duniani kwa kujali utu.View attachment 1044004
waliotoa hiyo gari lazma watakuwa wachagga ambao ndio wengi ulaya na marekani, lakini pia ndio watoaji na wapenda maendeleo.
Lissu ni mpango wa Mungu, anayepingana naye anapinga mpango wa Mungu na atondoka kama mliowaona walioondoka ghafla
Hahahahahah aliyesema BAVICHA NI nyumb*******Hakika aliona mbali sana.Ukisoma comment zao huko juu hupati shida kujua hawa watu wana shida vichwani.
The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Watu wamechukua dolari sembuse hili
Huyu mleta mada kweli mbishi, kaonyeshwa ushahidi kuwa katumia Photoshop bado anatetea Uzi wake.
CCM wakiamua wanaingiza hata 10,000 -