Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

Status
Not open for further replies.
Sasa na nyie si muweke photoshop ya kwenu huko lumumba mnali lia nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Yetu hii
tapatalk_1552395006163.jpeg

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Mshaliediti mbwa nyie
Hivi huko bavicha hamna hata mwenye kaelimu hata kidogo?

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Safari ndiyo imeanza nyie pokeeni oil chafu mkajaze kwenye mahindra zenu

In God we trust
Lakini si ni hili bus?
tapatalk_1552395006163.jpeg

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Ccm mwenye elimu ni msukuma kasheku
Hivi huko bavicha hamna hata mwenye kaelimu hata kidogo?

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.

In God we trust
 
Bwanaeee usituchoshe watanzania tumependa hivyohivyo Photoshop.haya nyamaza
View attachment 1043927

Hata kutumia graphycal Tools hujui. Wewe Ni mashamba Sana. Kwanza utaalam wa picha zikiwa katika Perspektive View hujui huwiano wake. Haibu kubwa sana! Unashindwa hata kutumia Adobe Photo Shop, ukapata Perspektive View ya kudanganya!

Angalau hata maandishi ukayaweka transparent tungesema umejitahidi kidogo. Kwenye Tinted Glas unaweka opaque watu walio ndani wataonaje nje?

Watanzania Mnaona mlivyo kuwa wajinga? Mnashindwa kutambua hata uozo huo?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ccm mwenye elimu ni msukuma kasheku

In God we trust
Kwahiyo mkuu picha halisi hapo ni ipi?
tapatalk_1552395006163.jpeg
tapatalk_1552395019100.jpeg

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Nzi wa kijani wenye roho chafu kama mbu hawapendi habari hizi wakiongozwa na zwazwa mkuu, bichwa baya.
Hawa wametuvurugia umoja wetu wa kitaifa kwaajili ya matumbo yao
 
Kwa wapenzi wa demokrasia popote walipo ulimwenguni lazima tumpongeze mh Lissu kwa kukubalika kwake duniani kote.
Mh amekabidhiwa basi jipya kabisa ili litumike kukiimarisha chama chetu pendwa cdm na watanzania wanao ishi ubelgiji hongereni sana ndugu zetu.View attachment 1043864

In God we trust
this red light alerms a snake from a hole.
 
Konoike wameshinda kesi muwalipe 110billion

In God we trust
Sawa mkuu,turudi kwenye gari yetu mpya ni ipi kati ya hizi mbili ni fake?
tapatalk_1552395006163.jpeg
tapatalk_1552395019100.jpeg

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Kwa wapenzi wa demokrasia popote walipo ulimwenguni lazima tumpongeze mh Lissu kwa kukubalika kwake duniani kote.
Mh amekabidhiwa basi jipya kabisa ili litumike kukiimarisha chama chetu pendwa cdm na watanzania wanao ishi ubelgiji hongereni sana ndugu zetu.View attachment 1043864

In God we trust
Hiyo lazima TRA wachukue tax kuanzia bilioni moja na ushee ili mshindwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom