Yetu hiiSasa na nyie si muweke photoshop ya kwenu huko lumumba mnali lia nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
litazuiliwa maan CCM ina roho mbaya kama kunguni.Sipati picha jinsi litakavyopigwa VYETI na traffic sidhani kama litaruhusiwa kuingia nchini
Yetu hii View attachment 1044017
The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Umenichekesha Sana mkuu........[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Halitaruhusiwa pale bandari hahahaaha
Hivi huko bavicha hamna hata mwenye kaelimu hata kidogo?Mshaliediti mbwa nyie
Wataumwa sana na vichomi lkn kwa cdm hii ni fireeeeeWatu wamechukua dolari sembuse hili
Likitoka bandarini linapark central
Hahahahaaaa
Dah...
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini si ni hili bus?Safari ndiyo imeanza nyie pokeeni oil chafu mkajaze kwenye mahindra zenu
In God we trust
Hivi huko bavicha hamna hata mwenye kaelimu hata kidogo?
The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
View attachment 1043927
Hata kutumia graphycal Tools hujui. Wewe Ni mashamba Sana. Kwanza utaalam wa picha zikiwa katika Perspektive View hujui huwiano wake. Haibu kubwa sana! Unashindwa hata kutumia Adobe Photo Shop, ukapata Perspektive View ya kudanganya!
Angalau hata maandishi ukayaweka transparent tungesema umejitahidi kidogo. Kwenye Tinted Glas unaweka opaque watu walio ndani wataonaje nje?
Watanzania Mnaona mlivyo kuwa wajinga? Mnashindwa kutambua hata uozo huo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sihusiki nao.Kamalizane kwanza na uvccm
In God we trust
Lakini si ni hili bus?View attachment 1044019
The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Kwahiyo mkuu picha halisi hapo ni ipi?Ccm mwenye elimu ni msukuma kasheku
In God we trust
this red light alerms a snake from a hole.Kwa wapenzi wa demokrasia popote walipo ulimwenguni lazima tumpongeze mh Lissu kwa kukubalika kwake duniani kote.
Mh amekabidhiwa basi jipya kabisa ili litumike kukiimarisha chama chetu pendwa cdm na watanzania wanao ishi ubelgiji hongereni sana ndugu zetu.View attachment 1043864
In God we trust
Sawa mkuu,turudi kwenye gari yetu mpya ni ipi kati ya hizi mbili ni fake?Konoike wameshinda kesi muwalipe 110billion
In God we trust
Hiyo lazima TRA wachukue tax kuanzia bilioni moja na ushee ili mshindweKwa wapenzi wa demokrasia popote walipo ulimwenguni lazima tumpongeze mh Lissu kwa kukubalika kwake duniani kote.
Mh amekabidhiwa basi jipya kabisa ili litumike kukiimarisha chama chetu pendwa cdm na watanzania wanao ishi ubelgiji hongereni sana ndugu zetu.View attachment 1043864
In God we trust