Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Nasikuia Tundu Lisu atapanda hilo bus hadi Vatican kupata chakula cha jioni na Papa Francis.Kama magu alivyotaifisha ile ngalawa yetu hata majaribio aikufanyika posta bagamoyo mbali basi hata ingekua inachukua watu kigamboni na kuwarushisha
Sent from my iPhone using JamiiForums
Teh teh teh
Marcopolo au
Umeokoteza picha ume edit umepost unajifariji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmasai amewavuruga kabisa wachaga!
Itafanyiwa zengwe kwenye usajili
Hivi chadema mna ofisi?CCM inachukua kodi zetu na kununua wapinzani chadema inachangiwa na watanzania kununua vitendea kazi.nani mjinga CCM au chadema?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanalo ni kweli lakini sio kama hiloTatizo ni nini sasa, hata JKT Oljoro wana basi pia. Bwembwe nyingine zinaonyesha level ya ujinga.
Nakumbuka 2015 chadema walisema hilo nalo basi lao,lakini mpaka leo sijawai kuliona machoni nadhani litakuwa bado kwenye meli.View attachment 1044081
Wachaga wanapenda sana mabasi!Nakumbuka 2015 chadema walisema hilo nalo basi lao,lakini mpaka leo sijawai kuliona machoni nadhani litakuwa bado kwenye meli.View attachment 1044081
Sisis ni wataalam wa graphics usitudanganye eti imehaririwa ,iyo ni picha OG ,picha iliyotengenezwa tunaijua acha wivuKipicha kimehaririwa
Ccm bila utapeli haiwezekani
In God we trust
Kwani CCM ina ofisi au majengo ya serikali imejimilikisha kwanguvu baada ya kuanza mfumo wa vyama vingi? Kama hulijui hili utakua mtoto wa juziHivi chadema mna ofisi?
God save us
Sisis ni wataalam wa graphics usitudanganye eti imehaririwa ,iyo ni picha OG ,picha iliyotengenezwa tunaijua acha wivu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani CCM ina ofisi au majengo ya serikali imejimilikisha kwanguvu baada ya kuanza mfumo wa vyama vingi? Kama hulijui hili utakua mtoto wa juzi
Sent using Jamii Forums mobile app