Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

Status
Not open for further replies.
Kama magu alivyotaifisha ile ngalawa yetu hata majaribio aikufanyika posta bagamoyo mbali basi hata ingekua inachukua watu kigamboni na kuwarushisha


Sent from my iPhone using JamiiForums
Nasikuia Tundu Lisu atapanda hilo bus hadi Vatican kupata chakula cha jioni na Papa Francis.
 
Nakumbuka 2015 chadema walisema hilo nalo basi lao,lakini mpaka leo sijawai kuliona machoni nadhani litakuwa bado kwenye meli.
553618_128850363923338_1701701502_n.jpeg
 
Sijui kama litaingia nchini hilo bus, pale bandarini litaleta patashika

Super hero daddy
 
Na zinachukuliwa kweli mkuu
Ahahahahaha kwaiyo bila kodi zetu awawezi basi wachukue zile 20 za wajasiliamali


Sent from my iPhone using JamiiForums

In God we trust
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom