Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

Status
Not open for further replies.
Hapo kwenye mikataba ya kuuza nchi. Naomba uniambie mikataba hiyo.. na akina. Nani wanahusika.. maana nimekuwa nikisikia mashtaka mengi sana kuhusu lisu lakin hakuna ushahid.. kama utakuwa nao pls nitumie.
Afe nani kwa matoi hayo - CCM iko level nyingine - acha LIssu aendelee kula mikataba ya kuuza nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu wabariki Wazungu
 
Itaingia nchini? Kodi yake mtalikimbia walichukue Ccm wawape TOT
Sent using Jamii Forums mobile app
 
="MISULI, post: 30717414, member: 199675"]We unajiona una AKILI?Wenye akili wote wamedoubt hiyo picha ila wapuuzi wote wamekata mauono mushangilia. Soma signature yangu hapo chini.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.[/QUOTE] the stupid ones are full of confidence like you! Kama unadhani kuwa una akili kuliko wengi wetu humu unajidanganya kwani wenye akili hawabishanagi sana wala hawamezwi na
Itikadi bali ukweli na uwazi! Buku saba wahed!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…