Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah...lakini gharama atazilipaje????Naona jinsi lisu anavyoandaliwa kampain 2020, ya kimarekani said. Usishangae ukaambiwa hii bus ni bulletproof.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kipimo ni CCM? CCM wakiwa wabovu, CHADEMA nao wanakuwa wapuuzi?hao CCM ruzuku wanayopta wamewahi kununua gari kama hili..... Hata kampeni wanatumia magari ya serikali, acha ufala wewe
Kikiwa chako ni dhahabu lkn kwa jilan yako ni makinikia/mchanga punguza roho za korosho huwa hazosaidiiTatizo ni nini sasa, hata JKT Oljoro wana basi pia. Bwembwe nyingine zinaonyesha level ya ujinga.
Ipi fake?View attachment 1044139Hilo tu ndilo ulilokariri kutoka shule ya kata.
tupe mfanoMbowe atalitaifisha. Subiri tu.
pasi haijapata moto, tunasubiri umeme wa s.gorgeWalisema wananyosha nchi! Mbona mimi Naona kila kitu kina zaidi kujikunja, mifumo , Taasisi na watu wenyewe sio kupinda tu! Wamejikunja ........
Kwa nini?tupe mfano
Ipi fake?View attachment 1044139View attachment 1044140View attachment 1044141
The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.[/QUOTE
ASANTE SANA,UMEMALIZA KILA KITU, HUWA NACHUKIA SANA MAUONGO YA KITOTO,SHAME KWA ALIYE PHOTOSHOP HIYO KITU NA ALIYELETA HII THREAD HAPA JF
Unatesekaaa???Tatizo ni nini sasa, hata JKT Oljoro wana basi pia. Bwembwe nyingine zinaonyesha level ya ujinga.
Naona jinsi lisu anavyoandaliwa kampain 2020, ya kimarekani said. Usishangae ukaambiwa hii bus ni bulletproof.
Sent using Jamii Forums mobile app