MISULI
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,843
- 5,476
Hii hapaFake news but ISOKEEEIIIII..
The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii hapaFake news but ISOKEEEIIIII..
Kwa wapenzi wa demokrasia popote walipo ulimwenguni lazima tumpongeze mh Lissu kwa kukubalika kwake duniani kote.
Mh amekabidhiwa basi jipya kabisa ili litumike kukiimarisha chama chetu pendwa cdm na watanzania wanao ishi ubelgiji hongereni sana ndugu View attachment 1043864
Ile sheria ya kutizama chama kitapata wapi misaada na kwa ajili gani itafunguliwa kwa Mara ya kwanza kuzuia Mali inayotoka kwa mabeberu kuingia kwenye chama cha upinzani kwa maslahi ya Taifa tutavyoambiwa (Niwazo2)
In God we trust[/QUOT
Tutaliendesha kutokea Mombasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app in Tecno wereva
Bebelu wametoa basi kwa kazi gani?😂😂😂beberu
Yani hata ukiandika Lisu kufanya Kikao na Yesu April watakata mauno tu.Hii ndio raha ya kuwa chadema hata habari fake wanashangilia tu
Wanataka kumuua mwenyekiti hawa.Jamani jamani mtaua watu kwa pressure
Kumbe ni mashindano ya uzi?Uzi ukiwa chini ya Mmawia huwa hakuna kinachoharibika. Comments zaidi ya 600 maCCM yamekuwa kama mazuzu
Wakuu, haka kamchezo hakahitaji hasira.Mkuu hawa jamaa ni wa kuwahurumia tu.Jamaa kamind sana kwa kumuumbua, utaona yuko frontline kuhakikisha watu wanaamini huu UPUUZI.
The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Pamoja maana Tz ya Viwonder chini ya Ankal ni KwikwiMkuu hao walio linunua hilo bus wanaijua Tanzania kuliko unavyo dhania hayo yote walisha yafikiria na kuyatafutia dawa
In God we trust
Uzuri mmeshapewa ukweli, Mmegeuza jukwaa kijiwe cha WAPUMBAVU. Inawezekanaje Great Thinker asiweze jua hata ishu ndogo tu ya Photoshop?