Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

Status
Not open for further replies.
Labda itatawala familia yako kupitia ufadhili wa chakubanga
Sawa, ngoja Chadema wasubiri basi lifike kutoka Belgium, kwa akili hizi za kununua picha ya basi na kumzawadia Lissu huku JF CCM itatawala miaka mingine 100.

In God we trust
 
Kiufupi tu hiyo ya chadema ni Adobe Photoshop imefanya yake,kama huna elimu ya hili swala ni pm nikupe maujanja. Naweza kukuedit hadi wewe nimukupakata na mkeo akasema kuanzia leo mi nawe Basi. Punguza ushamba mkuu.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Sasa tutapunguzaje ushamba wakati ninyi wenyewe ndio mliotujengea shule za kata ili kutuongezea ushamba. Kwenye shule za kata za CCM hata waalimu wenyewe hawajui photoshop ni mdudu wa aina gani, sasa kwa sisi wanafunzi itakuwaje? Kidumu chama cha Mapinduziiiiii.
 
Hahahahahah nouma sana

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
mtu atuchafulie nchi atusababishie uhusiano mbovu na donors wetu harafu atuletee siasa hizi wakati huu tuna spidi ya maendeleo ambayo haiwezi kuzuilika hata kidogo labda likamsaidie Odinga huko kenya au aligawe kwa mpinzani wa Bouteflika huko Algeria. ....
FB_IMG_1552401847073.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa tutapunguzaje ushamba wakati ninyi wenyewe ndio mliotujengea shule za kata ili kutuongezea ushamba. Kwenye shule za kata za CCM hata waalimu wenyewe hawajui photoshop ni mdudu wa aina gani, sasa kwa sisi wanafunzi itakuwaje? Kidumu chama cha Mapinduziiiiii.
Wanajua fika kuwa wakitoa elimu bora wasinge kuwepo hadi leo madarakani

In God we trust
 
Labda itatawala familia yako kupitia ufadhili wa chakubanga

In God we trust
Hahaha... Endelea kushangilia picha za Google eti basi.. Huyo mgonjwa wenu ndo kaishafeli hata mumpambe Vipi... Vipi lini anakutana na Trump na Papa na kuhutubia bunge la Marekani?,. Nyie ndo maana mliitwa NYUMBU mna akili za kuvukia barabara tu.
 
Wanajua fika kuwa wakitoa elimu bora wasinge kuwepo hadi leo madarakani

In God we trust
Ukitaka kuwatawala watu milele tena bila usumbufu wa aina yoyote, basi wajaze ujinga badala ya maarifa. Wataishia kuwa misukule tu na utawafanya lolote utakalo. Na hii huwa ndio kazi ya propaganda, Ni kuwajaza watu ujinga ili watawalike kwa urahisi.
 
Hahaha... Endelea kushangilia picha za Google eti basi.. Huyo mgonjwa wenu ndo kaishafeli hata mumpambe Vipi... Vipi lini anakutana na Trump na Papa na kuhutubia bunge la Marekani?,. Nyie ndo maana mliitwa NYUMBU mna akili za kuvukia barabara tu.
Ni heri uishi na nyumbu kuliko kuishi na green mambas. Ukiishi na nyumbu utakuwa salama zaidi kuliko kuishi na green mambas.
 
Sasa tumeshastuka
Ukitaka kuwatawala watu milele tena bila usumbufu wa aina yoyote, basi wajaze ujinga badala ya maarifa. Wataishia kuwa misukule tu na utawafanya lolote utakalo. Na hii huwa ndio kazi ya propaganda, Ni kuwajaza watu ujinga ili watawalike kwa urahisi.

In God we trust
 
Ni heri uishi na nyumbu kuliko kuishi na green mambas. Ukiishi na nyumbu utakuwa salama zaidi kuliko kuishi na green mambas.
Wana roho mbaya sana hao wadudu

In God we trust
 
Ndiyo maana nasema wana roho mbaya sana maana wanakuuma na kukupotezea uhai wako alafu wanasepa afadhali chatu anameza
Sio roho mbaya tu, hata ile sumu inayotoka kwenye vinywa vyao, inaua kuliko kawaida.

In God we trust
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom