Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

Status
Not open for further replies.
Chadema sijui akili za kimaskini mtaacha lini Maana hatuwezi acha kujadili mambo makubwa tukaanza kujadili mabasi tena ya zawadi
 
Ha haa! Hilo gari najua halijafanyiwa inspection huko Ulaya kwa kuwa hakuna wakala. Definitely litabidi lipitie NIT kufanyiwa inspection. Ninawasi wasi kama kweli litapita kwenye inspection... Labda kusiwe na maagizo kutoka juu!
CHADEMA, basi lenu mjiandae kulichinja spea mkaziuze pale Kariakoo/ Gerezani...
 
Huu ni mtego kwa Rais magufuli kutoka EU. Lissi akili Mingi.
Hahahaha... Na wewe umeamini Lissu kapewa basi?,. Kweli maajabu hayatakaa yaishe, hilo basi wamechukua picha Google wakaipiga chata za Chadema kwenye computer, hizo picha hujazielewa?
 
Hahaaa roho inawauma wajinga tu ila Wtz wazalendo tumefurahi kuona Wtz wenzetu wanatambua mchango wa Chadema
 

Tatizo ni kwamba wengi Wao akili zao hazifanani na Uzuri wa Basi hilo kama linavyoonekana hapa Pichani Mkuu.
 
Naomba link nikajionee mwenyewe
Nimekuwekea Link au waweza ku google hivi..

Scania touring de vip bus.. Litakuja juu hilo hilo, na limesimama mahali pale pale.Ndo walicopy google wakalipiga chata za CDM kwenye PHOTOSHOP, jamaa kuanzisha Uzi mkampa na likes kibao, jamani hizi propaganda zimefika next level, sijui kwa manufaa ya nani.
 
mbona unateseka ?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…