Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

Status
Not open for further replies.
Chadema sijui akili za kimaskini mtaacha lini Maana hatuwezi acha kujadili mambo makubwa tukaanza kujadili mabasi tena ya zawadi
 
Ha haa! Hilo gari najua halijafanyiwa inspection huko Ulaya kwa kuwa hakuna wakala. Definitely litabidi lipitie NIT kufanyiwa inspection. Ninawasi wasi kama kweli litapita kwenye inspection... Labda kusiwe na maagizo kutoka juu!
CHADEMA, basi lenu mjiandae kulichinja spea mkaziuze pale Kariakoo/ Gerezani...
 
Huu ni mtego kwa Rais magufuli kutoka EU. Lissi akili Mingi.
Hahahaha... Na wewe umeamini Lissu kapewa basi?,. Kweli maajabu hayatakaa yaishe, hilo basi wamechukua picha Google wakaipiga chata za Chadema kwenye computer, hizo picha hujazielewa?
 
Hahaaa roho inawauma wajinga tu ila Wtz wazalendo tumefurahi kuona Wtz wenzetu wanatambua mchango wa Chadema
 
mtu atuchafulie nchi atusababishie uhusiano mbovu na donors wetu harafu atuletee siasa hizi wakati huu tuna spidi ya maendeleo ambayo haiwezi kuzuilika hata kidogo labda likamsaidie Odinga huko kenya au aligawe kwa mpinzani wa Bouteflika huko Algeria. ....View attachment 1044274

Sent using Jamii Forums mobile app

Tatizo ni kwamba wengi Wao akili zao hazifanani na Uzuri wa Basi hilo kama linavyoonekana hapa Pichani Mkuu.
 
Naomba link nikajionee mwenyewe
Nimekuwekea Link au waweza ku google hivi..

Scania touring de vip bus.. Litakuja juu hilo hilo, na limesimama mahali pale pale.Ndo walicopy google wakalipiga chata za CDM kwenye PHOTOSHOP, jamaa kuanzisha Uzi mkampa na likes kibao, jamani hizi propaganda zimefika next level, sijui kwa manufaa ya nani.
 
Screenshot_20190312-231502.png
 
Mkuu endelea kumuumbua huyu FALA alifikiri atakamata watu, kapewa like kibao na NYUMBU wenzake Ila wakifungua page za mbele wanaona lenyewe toka Google wanaamua kupita kimya, hii story ingekuwa ya kweli CDM wote akiwemo MWANAHABARI feki na Salry Slp wangehamia humu, Ila wanapita kimya wanashindwa kutetea UPUMBAVU na utoto wa mleta mada.Kabaki anapigania uongo wake mwenyewe..
mbona unateseka ?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom