Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

Status
Not open for further replies.
Ili mradi unasema ni mali ya cdm basi hayo mengine ni mazungumzo baada ya habari
In God we trust
 
Hata nawe bado upo kwenye mkumbo wa mawazo ya kimasikini kwa kuwa umechangia
Chadema sijui akili za kimaskini mtaacha lini Maana hatuwezi acha kujadili mambo makubwa tukaanza kujadili mabasi tena ya zawadi

In God we trust
 
Hutaki au?mnajisikiaje mnavyo lazimika kulipa 110billion kwa konoike?hakusema mkambeza?
Lisu ni binadamu wa kwanza kujua sheria za nchi za nje by Salary slip!

In God we trust
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…