Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
- Thread starter
- #801
Ili mradi unasema ni mali ya cdm basi hayo mengine ni mazungumzo baada ya habari
In God we trust
Ha haa! Hilo gari najua halijafanyiwa inspection huko Ulaya kwa kuwa hakuna wakala. Definitely litabidi lipitie NIT kufanyiwa inspection. Ninawasi wasi kama kweli litapita kwenye inspection... Labda kusiwe na maagizo kutoka juu!
CHADEMA, basi lenu mjiandae kulichinja spea mkaziuze pale Kariakoo/ Gerezani...
In God we trust