Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Akyanani .... Soon wanatunga sheria ya kutoruhusu mabasi yenye nembo za kichama yasipite barabarani isipokua nembo ya Kijani tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Tuna watu wanatuongoza, wivu waoumezidi hata wivu wa wanawake.
Karibu sana mekuWanachadema mnanikosha sana na mambo yenu pamoja na kunyanyaswa na serikali lakini mnaenda slowly but sure. Naombeni kujiunga na chama chenu jamani 2020 kura yangu na mkewangu nawapa chadema.
Sent using Jamii Forums mobile app
La kubeba watoto wa shule?Kwa wapenzi wa demokrasia popote walipo ulimwenguni lazima tumpongeze mh Lissu kwa kukubalika kwake duniani kote.
Mh amekabidhiwa basi jipya kabisa ili litumike kukiimarisha chama chetu pendwa cdm na watanzania wanao ishi ubelgiji hongereni sana ndugu zetu.View attachment 1043864
In God we trust
Mona mapovu mzee wangu. Sielewi umepitia kilabu gani asubuhi hii. Mimi nimesema walioandika maandishi wamyeapindisha wewe unalalama shilingi kupanda against US$. Kupanda kwa shilingi hakuna uhusiano kabisa na maandishi kutonyooka labda kama una kizunguzungu kichwani. Usirudi kwenye kilabu ulikopitia asubuhi hii. Mataputapu waliyokupa yatakuharibu akili ushindwe kutofautisha maandishi kwenye picha na thamani ya shilingi dhidi ya dola ya kimarekaniKwahiyo inakuuma kitu gani?ndiyo itaifanya shilingi ipande against us$?
In God we trust
Kwani mimi kukuuliza kuapnda kwa sh against us $ kuna ubaya gani?Mona mapovu mzee wangu. Mimi nimezungumzia kuwa maandishi hayakuandikwa v
Sielewi umepitia kilabu gani asubuhi hii. Mimi nimesema walionadika maandishi wamyeapindisha wewe unalalama shilingi kupanda agains Us $. Kupanda kwa shilingi hakuna uhusiano Kabila na maandishi kutonyooka labda kama Una kizunguzungu kichwani.
Usirudi kwenye kilabu ulikopitia asubuhi hii. Mataputapu waliyokupa yatakuharibu akili ushindwe kutofautisha maandishi kwenye picha na thamani ya shilingi dhidi ya dola ya kimarekani
Kwa hiyo post unajiona bonge la mjanjaaaa!
In God we trust
Rais wetu alipokuwa anazopokea ndege zetu pale airport, wapinzani walikuwa wanachonga sana wakidai kuwa ni ushamba Kwa Rais kwenda juzi pokea hizo ndege, sasa nyie wapinzani hapo mmezawadiwa basi tu tena UDA mnaonyesha mbwembwe kibao sijui siku mkizawadiwa ndege nahisi mtazimiaKwa wapenzi wa demokrasia popote walipo ulimwenguni lazima tumpongeze mh Lissu kwa kukubalika kwake duniani kote.
Mh amekabidhiwa basi jipya kabisa ili litumike kukiimarisha chama chetu pendwa cdm na watanzania wanao ishi ubelgiji hongereni sana ndugu zetu.View attachment 1043864
In God we trust
Rais wetu alipokuwa anazopokea ndege zetu pale airport, wapinzani walikuwa wanachonga sana wakidai kuwa ni ushamba Kwa Rais kwenda juzi pokea hizo ndege, sasa nyie wapinzani hapo mmezawadiwa basi tu tena UDA mnaonyesha mbwembwe kibao sijui siku mkizawadiwa ndege nahisi mtazimia
Kwa wapenzi wa demokrasia popote walipo ulimwenguni lazima tumpongeze mh Lissu kwa kukubalika kwake duniani kote.
Mh amekabidhiwa basi jipya kabisa ili litumike kukiimarisha chama chetu pendwa cdm na watanzania wanao ishi ubelgiji hongereni sana ndugu zetu.View attachment 1043864
In God we trust
hakuna mbwebwe hapo kasema wamepewa gari mpya..kuna ubaya gani wakipewa, siasa sio uadui. acha wapewe kila chama wawe na gari na ofisi zao wafanye kazi zao, wananchi watawapima kwa kile watakachokileta mbele yaoTatizo ni nini sasa, hata JKT Oljoro wana basi pia. Bwembwe nyingine zinaonyesha level ya ujinga.
Hii kitu imekaa vizuri, na ni mwanzo mzuri.
Wasiopenda watakuja muda si mrefu wakisema hamna kitu kama hicho, na watasema mara wamebandika tu maandishi, mara watasema Photoshop,mara hivi, ilimradi tu wapumue.
kwani mabasi hayaruhusiwi?Ishu ni kulitoa bandarini
lina mabomu?Halitaruhusiwa pale bandari hahahaaha
hakuna mbwebwe hapo kasema wamepewa gari mpya..kuna ubaya gani wakipewa, siasa sio uadui. acha wapewe kila chama wawe na gari na ofisi zao wafanye kazi zao, wananchi watawapima kwa kile watakachokileta mbele yao