Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,833
- 11,173
Litapitia bandari gani hilo gari?
Maafisa wa TRA bandarini watalichoma moto na watapandishwa vyeo kwa hilo tukio!
Mahakama Kuu inatoa hukumu kumwambia Prof Lipumba asifanye mkutano lkn bado anafanya ndiyo liwe hili gari kupita bandarini?
Tupo ktk utawala wa hovyo kweli kweli!