Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

Status
Not open for further replies.
Litapitia bandari gani hilo gari?
Maafisa wa TRA bandarini watalichoma moto na watapandishwa vyeo kwa hilo tukio!
Mahakama Kuu inatoa hukumu kumwambia Prof Lipumba asifanye mkutano lkn bado anafanya ndiyo liwe hili gari kupita bandarini?
Tupo ktk utawala wa hovyo kweli kweli!
 
Maskini akipata ni tabu sana - ukitaka kujua tabia za maskini mpe fedha - CCM vitu walishavizoea kitambo sana
Tumeiona serikali ikitangaza kwa vishindo, sijui mnaziitaje,aahh, Bomba Dear, na kupiga picha kwa mbwembwe, shughuli za uzaliishaji zinasimama, watu wanapoforeni kwenda kuzipokea!!!Tunatangaza ulimwengu mzima, tumepata kizuri kuliko vyote Afrika.

Leo wanachama wa CDM kutoa zawadi kwa chama chao mapovu yanawajaa midomoni. Huo ni mwanzo, CDM iko hai mioyoni mwa watu, na wataisapoti kwa vitu vitavyokuwa hata zaidi ya hilo moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani habari za lisu kuhutubia UN 23 January na kuonana na Papa hizo habari mods walizifuta?Umeshindwa kuthibitisha wewe kama wewe unataka kujificha kwenye kivuli cha mods. Unataka kusema habari zote ambazo mods hawafuti ni za kweli?

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Kwa taarifa yako JF ina watendaji wenye weledi sana na kazi yao kuliko unavyo fikiria kabla hawaja wacha uzi utembee uwanjani wanajiridhisha sana.

In God we trust
 
Ulimwengu utashuhudia tukio hilo
Litapitia bandari gani hilo gari?
Maafisa wa TRA bandarini watalichoma moto na watapandishwa vyeo kwa hilo tukio!
Mahakama Kuu inatoa hukumu kumwambia Prof Lipumba asifanye mkutano lkn bado anafanya ndiyo liwe hili gari kupita bandarini?
Tupo ktk utawala wa hovyo kweli kweli!

In God we trust
 
Asante sana mkuu kwa kutoa elimu ya uraia kwa watu ambao wanafikiri wao ndiyo wenye haki ya kupendwa na wengine hawana
Tumeiona serikali ikitangaza kwa vishindo, sijui mnaziitaje,aahh, Bomba Dear, na kupiga picha kwa mbwembwe, shughuli za uzaliishaji zinasimama, watu wanapoforeni kwenda kuzipokea!!!Tunatangaza ulimwengu mzima, tumepata kizuri kuliko vyote Afrika.

Leo wanachama wa CDM kutoa zawadi kwa chama chao mapovu yanawajaa midomoni. Huo ni mwanzo, CDM iko hai mioyoni mwa watu, na wataisapoti kwa vitu vitavyokuwa hata zaidi ya hilo moja.

Sent using Jamii Forums mobile app

In God we trust
 
Kwa povu hili nadhani itakuwa vema polisi waanze na wewe kuhusu wasiyo julikana walio mshambulia mh Lissu maana umeonyesha chuki ya kiwango cha juu sana juu ya mh Lissu na hatujui nini makusudi yako
Kwani habari za lisu kuhutubia UN 23 January na kuonana na Papa hizo habari mods walizifuta?Umeshindwa kuthibitisha wewe kama wewe unataka kujificha kwenye kivuli cha mods. Unataka kusema habari zote ambazo mods hawafuti ni za kweli?

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.

In God we trust
 
Tena watasubiri sana Chadema ni fire

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ndo fire basi la kutoka Google images mnashangilia tangu jana?

scania touring de vip bus - Пошук Google

Screenshot_20190312-230438.png
 
Na wewe unashindwa kufanya kazi zako kwa ajili ya hilo basi [emoji122][emoji16]
Hii ndo fire basi la kutoka Google images mnashangilia tangu jana?

In God we trust
 
Sema labda kapewa bus linalofanana na hilo but sio hilo.....hiyo huoni ni poor editing kabisa.....lakini kama kweli atakua kapewa bus kama hilo ushuru anaweza hata kuambiwa billion 10.....

Sisi cccm hatuna akili#

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wewe unashindwa kufanya kazi zako kwa ajili ya hilo basi [emoji122][emoji16]

In God we trust
Yani nipo sambamba kama wewe ulivyosambamba kuwaelimisha wanaovamia huu Uzi bila kujua kuwa ni Fix ya kiwango Cha SGR, unatamani ufute post zinazoonyesha uhalisia wa hilo basi lililokuwa uploaded April 2018.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom