Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

Status
Not open for further replies.
Kwa wapenzi wa demokrasia popote walipo ulimwenguni lazima tumpongeze mh Lissu kwa kukubalika kwake duniani kote.
Mh amekabidhiwa basi jipya kabisa ili litumike kukiimarisha chama chetu pendwa cdm na watanzania wanao ishi ubelgiji hongereni sana ndugu zetu.View attachment 1043864

In God we trust
La kubeba watoto wa shule?

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Kwahiyo inakuuma kitu gani?ndiyo itaifanya shilingi ipande against us$?

In God we trust
Mona mapovu mzee wangu. Sielewi umepitia kilabu gani asubuhi hii. Mimi nimesema walioandika maandishi wamyeapindisha wewe unalalama shilingi kupanda against US$. Kupanda kwa shilingi hakuna uhusiano kabisa na maandishi kutonyooka labda kama una kizunguzungu kichwani. Usirudi kwenye kilabu ulikopitia asubuhi hii. Mataputapu waliyokupa yatakuharibu akili ushindwe kutofautisha maandishi kwenye picha na thamani ya shilingi dhidi ya dola ya kimarekani
 
Mona mapovu mzee wangu. Mimi nimezungumzia kuwa maandishi hayakuandikwa v

Sielewi umepitia kilabu gani asubuhi hii. Mimi nimesema walionadika maandishi wamyeapindisha wewe unalalama shilingi kupanda agains Us $. Kupanda kwa shilingi hakuna uhusiano Kabila na maandishi kutonyooka labda kama Una kizunguzungu kichwani.

Usirudi kwenye kilabu ulikopitia asubuhi hii. Mataputapu waliyokupa yatakuharibu akili ushindwe kutofautisha maandishi kwenye picha na thamani ya shilingi dhidi ya dola ya kimarekani
Kwani mimi kukuuliza kuapnda kwa sh against us $ kuna ubaya gani?
Anyway tuyaache hayo kuhusu kilabu nimekesha nafurahia maisha hapa starehe nairobi

In God we trust
 
Kwa wapenzi wa demokrasia popote walipo ulimwenguni lazima tumpongeze mh Lissu kwa kukubalika kwake duniani kote.
Mh amekabidhiwa basi jipya kabisa ili litumike kukiimarisha chama chetu pendwa cdm na watanzania wanao ishi ubelgiji hongereni sana ndugu zetu.View attachment 1043864

In God we trust
Rais wetu alipokuwa anazopokea ndege zetu pale airport, wapinzani walikuwa wanachonga sana wakidai kuwa ni ushamba Kwa Rais kwenda juzi pokea hizo ndege, sasa nyie wapinzani hapo mmezawadiwa basi tu tena UDA mnaonyesha mbwembwe kibao sijui siku mkizawadiwa ndege nahisi mtazimia
 
NAONA BAVICHA MTALIFANYIA MAPOKEZI YA NGUVU DREAMLINER YA LISU
 
Kwahiyo nyie zile ndege mlizawadiwa?mbona unatumia mifano mfu?
Rais wetu alipokuwa anazopokea ndege zetu pale airport, wapinzani walikuwa wanachonga sana wakidai kuwa ni ushamba Kwa Rais kwenda juzi pokea hizo ndege, sasa nyie wapinzani hapo mmezawadiwa basi tu tena UDA mnaonyesha mbwembwe kibao sijui siku mkizawadiwa ndege nahisi mtazimia

In God we trust
 
Mapokezi mnafanyaga nyinyi ccm, watu wa cdm ni watu makini sana kwenye mambo yao
NAONA BAVICHA MTALIFANYIA MAPOKEZI YA NGUVU DREAMLINER YA LISU

In God we trust
 
.....
.....hili Kumbakumba likipita mtaani kijiji chote kinafuta Nyuma
 
Kwa wapenzi wa demokrasia popote walipo ulimwenguni lazima tumpongeze mh Lissu kwa kukubalika kwake duniani kote.
Mh amekabidhiwa basi jipya kabisa ili litumike kukiimarisha chama chetu pendwa cdm na watanzania wanao ishi ubelgiji hongereni sana ndugu zetu.View attachment 1043864

In God we trust

Hii kitu imekaa vizuri, na ni mwanzo mzuri.
Wasiopenda watakuja muda si mrefu wakisema hamna kitu kama hicho, na watasema mara wamebandika tu maandishi, mara watasema Photoshop,mara hivi, ilimradi tu wapumue.
 
Aliyefanya hivi Mungu amsamehe kwa kweli
Screenshot_20190313-094617_Firefox.jpeg
tapatalk_1552420075641.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo ni nini sasa, hata JKT Oljoro wana basi pia. Bwembwe nyingine zinaonyesha level ya ujinga.
hakuna mbwebwe hapo kasema wamepewa gari mpya..kuna ubaya gani wakipewa, siasa sio uadui. acha wapewe kila chama wawe na gari na ofisi zao wafanye kazi zao, wananchi watawapima kwa kile watakachokileta mbele yao
 
Wamekesha wana fanya wanalo weza ila hiyo haiondoi ukweli wa cdm kukubalika nje ya mipaka ya nchi yetu
Hii kitu imekaa vizuri, na ni mwanzo mzuri.
Wasiopenda watakuja muda si mrefu wakisema hamna kitu kama hicho, na watasema mara wamebandika tu maandishi, mara watasema Photoshop,mara hivi, ilimradi tu wapumue.

In God we trust
 
Kwa wana ccm hiyo ni dhambi maana wao ndiyo wanajiona wanastahili kupendwa na kukubalika

Back
Top Bottom