Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

Status
Not open for further replies.
Afe nani kwa matoi hayo - CCM iko level nyingine - acha LIssu aendelee kula mikataba ya kuuza nchi
Tangu lini Lisu akasign mikataba ya nchi ? je Lisu ni kiongozi wa serikali?
 
Aliyechangiwa basi ni Lisu,kwa hiyo ni Mali ya Lisu Wala sio Mali ya Cdm
Lipi kati ya hili?

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Kanunuliwa Google au wapi?Usicheze na Technology.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Tatizo unawashwa sana na mafanikio ya cdm na unawafanya admin wa jf ni wajinga waache kitu cha uongo tangu jana kipo jukwaani?hivi hizo chuki zenu zinawapeleka wapi kama wataanza?kwani cdm wakipata gari wewe unakosa nini maishani mwako?
Kanunuliwa Google au wapi?Usicheze na Technology. View attachment 1044521View attachment 1044522View attachment 1044523

In God we trust
 
Kwani habari za lisu kuhutubia UN 23 January na kuonana na Papa hizo habari mods walizifuta?Umeshindwa kuthibitisha wewe kama wewe unataka kujificha kwenye kivuli cha mods. Unataka kusema habari zote ambazo mods hawafuti ni za kweli?

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Tatizo unawashwa sana na mafanikio ya cdm na unawafanya admin wa jf ni wajinga waache kitu cha uongo tangu jana kipo jukwaani?hivi hizo chuki zenu zinawapeleka wapi kama wataanza?kwani cdm wakipata gari wewe unakosa nini maishani mwako?
Kanunuliwa Google au wapi?Usicheze na Technology. View attachment 1044521View attachment 1044522View attachment 1044523

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.

In God we trust
 
Wewe Lissu hata kama akienda kupata lunch na Donald Trump inakuhusu nini hadi unapatwa na uchungu kiasi hicho?ukiambiwa nawe ulishiriki kwenye jaribio la kumpiga risasi utakataa?hizo chuki zako unajidhalilisha sana bwana mdogo

In God we trust
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…