Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanaruhusiwa ila kwa bus hilo watazungushwa sana mpaka litokekwani mabasi hayaruhusiwi?
Daahh huu wivu umevuka mipaka ... jiangalie vizuri ..soon utaolewaTatizo ni nini sasa, hata JKT Oljoro wana basi pia. Bwembwe nyingine zinaonyesha level ya ujinga.
Hili swali ni zito sana kwa wenye utimamu ... bila shaka patakuwa.na kampeni nzito sana inayo fanyika huko kwaajili ya kuikomboa nchi toka kwenye minyorolo ya chumaKunani Ubelgiji?
ni basi la kawaida. lilipiwe kodi liingie. na wengine wa vyama vingine leteni mabasi mengiii...maendeleo ni ya watu wote, Raia hawabaguliwi kulipa kodi pia wasibaguliwe kwa itikadi zao..
Adobe photoshop
Hoja sio simba na yanga au baba yako kuwa na ma-bus ... hoja iliyoteka huu mjadala ni tundu lissu kununuliwa gari na wananchi wanaoishi wa kitanzania Belgium ....
Tangu lini Lisu akasign mikataba ya nchi ? je Lisu ni kiongozi wa serikali?Afe nani kwa matoi hayo - CCM iko level nyingine - acha LIssu aendelee kula mikataba ya kuuza nchi
Aliyefanya hivi Mungu amsamehe kwa kweliView attachment 1044494View attachment 1044495
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliyechangiwa basi ni Lisu,kwa hiyo ni Mali ya Lisu Wala sio Mali ya CdmHujaeleweka
In God we trust
Lipi kati ya hili?Aliyechangiwa basi ni Lisu,kwa hiyo ni Mali ya Lisu Wala sio Mali ya Cdm
Kanunuliwa Google au wapi?Usicheze na Technology.Hoja sio simba na yanga au baba yako kuwa na ma-bus ... hoja iliyoteka huu mjadala ni tundu lissu kununuliwa gari na wananchi wanaoishi wa kitanzania Belgium ....
It Means kuna kundi kubwa la nguvu ya uma linalo hitaji mabadiliko nchini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kanunuliwa Google au wapi?Usicheze na Technology. View attachment 1044521View attachment 1044522View attachment 1044523
The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Kwani habari za lisu kuhutubia UN 23 January na kuonana na Papa hizo habari mods walizifuta?Umeshindwa kuthibitisha wewe kama wewe unataka kujificha kwenye kivuli cha mods. Unataka kusema habari zote ambazo mods hawafuti ni za kweli?Tatizo unawashwa sana na mafanikio ya cdm na unawafanya admin wa jf ni wajinga waache kitu cha uongo tangu jana kipo jukwaani?hivi hizo chuki zenu zinawapeleka wapi kama wataanza?kwani cdm wakipata gari wewe unakosa nini maishani mwako?
In God we trust
Kanunuliwa Google au wapi?Usicheze na Technology. View attachment 1044521View attachment 1044522View attachment 1044523
The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Wewe Lissu hata kama akienda kupata lunch na Donald Trump inakuhusu nini hadi unapatwa na uchungu kiasi hicho?ukiambiwa nawe ulishiriki kwenye jaribio la kumpiga risasi utakataa?hizo chuki zako unajidhalilisha sana bwana mdogoKwani habari za lisu kuhutubia UN 23 January na kuonana na Papa hizo habari mods walizifuta?Umeshindwa kuthibitisha wewe kama wewe unataka kujificha kwenye kivuli cha mods. Unataka kusema habari zote ambazo mods hawafuti ni za kweli?
The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.