Tumeiona serikali ikitangaza kwa vishindo, sijui mnaziitaje,aahh, Bomba Dear, na kupiga picha kwa mbwembwe, shughuli za uzaliishaji zinasimama, watu wanapoforeni kwenda kuzipokea!!!Tunatangaza ulimwengu mzima, tumepata kizuri kuliko vyote Afrika.Maskini akipata ni tabu sana - ukitaka kujua tabia za maskini mpe fedha - CCM vitu walishavizoea kitambo sana
Walipewa na nani?Tatizo ni nini sasa, hata JKT Oljoro wana basi pia. Bwembwe nyingine zinaonyesha level ya ujinga.
Kwa taarifa yako JF ina watendaji wenye weledi sana na kazi yao kuliko unavyo fikiria kabla hawaja wacha uzi utembee uwanjani wanajiridhisha sana.Kwani habari za lisu kuhutubia UN 23 January na kuonana na Papa hizo habari mods walizifuta?Umeshindwa kuthibitisha wewe kama wewe unataka kujificha kwenye kivuli cha mods. Unataka kusema habari zote ambazo mods hawafuti ni za kweli?
The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Litapitia bandari gani hilo gari?
Maafisa wa TRA bandarini watalichoma moto na watapandishwa vyeo kwa hilo tukio!
Mahakama Kuu inatoa hukumu kumwambia Prof Lipumba asifanye mkutano lkn bado anafanya ndiyo liwe hili gari kupita bandarini?
Tupo ktk utawala wa hovyo kweli kweli!
Huo wivu,ni umama huoTatizo ni nini sasa, hata JKT Oljoro wana basi pia. Bwembwe nyingine zinaonyesha level ya ujinga.
We ndo wale jirani yako akinunua shati jipya unaponda et eeh" shati rangi mbaaaaya"haaaaaTatizo ni nini sasa, hata JKT Oljoro wana basi pia. Bwembwe nyingine zinaonyesha level ya ujinga.
Tumeiona serikali ikitangaza kwa vishindo, sijui mnaziitaje,aahh, Bomba Dear, na kupiga picha kwa mbwembwe, shughuli za uzaliishaji zinasimama, watu wanapoforeni kwenda kuzipokea!!!Tunatangaza ulimwengu mzima, tumepata kizuri kuliko vyote Afrika.
Leo wanachama wa CDM kutoa zawadi kwa chama chao mapovu yanawajaa midomoni. Huo ni mwanzo, CDM iko hai mioyoni mwa watu, na wataisapoti kwa vitu vitavyokuwa hata zaidi ya hilo moja.
Sent using Jamii Forums mobile app
We ndo wale jirani yako akinunua shati jipya unaponda et eeh" shati rangi mbaaaaya"haaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani habari za lisu kuhutubia UN 23 January na kuonana na Papa hizo habari mods walizifuta?Umeshindwa kuthibitisha wewe kama wewe unataka kujificha kwenye kivuli cha mods. Unataka kusema habari zote ambazo mods hawafuti ni za kweli?
The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe ndiye mpumbavu kabisa kwani kuna mbwembwe gani hapo? Nyie hata kwenda kuzindua mashimo ya choo cha shule ya msingi mikamera kaibao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ndo fire basi la kutoka Google images mnashangilia tangu jana?
Yani nipo sambamba kama wewe ulivyosambamba kuwaelimisha wanaovamia huu Uzi bila kujua kuwa ni Fix ya kiwango Cha SGR, unatamani ufute post zinazoonyesha uhalisia wa hilo basi lililokuwa uploaded April 2018.Na wewe unashindwa kufanya kazi zako kwa ajili ya hilo basi [emoji122][emoji16]
In God we trust