Yani nipo sambamba kama wewe ulivyosambamba kuwaelimisha wanaovamia huu Uzi bila kujua kuwa ni Fix ya kiwango Cha SGR, unatamani ufute post zinazoonyesha uhalisia wa hilo basi lililokuwa uploaded April 2018.
Mkuu wame edit hili hapa, fungua link Chini hapa..Sema labda kapewa bus linalofanana na hilo but sio hilo.....hiyo huoni ni poor editing kabisa.....lakini kama kweli atakua kapewa bus kama hilo ushuru anaweza hata kuambiwa billion 10.....
Sisi cccm hatuna akili#
Sent using Jamii Forums mobile app
Anayedanganya eti Lissu kapewa basi kutoka Google images likapitia Photoshop ndo MPUMBAVU na hana akili, ila yeye ndo anajiona mjanja. Na mimi nipo kuwaelimisha watu kuhusu huu ujinga uliouleta humu.CDM wenye akili wote wameukimbia huu Uzi.Siku nyingine pangilia vizuri uongo wako.Usione watu wajinga.Sana sana wanakuona huna akili tu
In God we trust
Jibu hoja,hizo picha umezitoa wapi?Kwa povu hili nadhani itakuwa vema polisi waanze na wewe kuhusu wasiyo julikana walio mshambulia mh Lissu maana umeonyesha chuki ya kiwango cha juu sana juu ya mh Lissu na hatujui nini makusudi yako
In God we trust
Watu wakiona hizi picha wanajua mtoa mada ni MPUMBAVU KIWANGO CHA SGR.Sana sana wanakuona huna akili tu
In God we trust
Kumbe huyo pimbi kawaingiza watu mkenge teh Kuna Tanzania bara,visiwani na Tanzania mitandaoniMkuu wame edit hili hapa, fungua link Chini hapa..
scania touring de vip bus - Пошук Google
View attachment 1044548
Watu wakiona hizi picha wanajua mtoa mada ni MPUMBAVU KIWANGO CHA SGR. View attachment 1044550View attachment 1044551
The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Itabidi huu uzi uulinde sana kwa kila mgeni aingiaye. Hapa ni ELIMU tu.Wanaumia sana
In God we trust
Itabidi huu uzi uulinde sana kwa kila mgeni aingiaye. Hapa ni ELIMU tu.View attachment 1044554View attachment 1044555
The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Uzi ungenoga kama Tungeshindwa kukuumbua, So kila anayeingia anapewa ukweli anapita hivi. Tuko nawe sambamba hadi akili ikukae sawa.Leo lazima ukeshe tena na vibwengo vyako hivyo bila kujijua kuwa unasongesha uzi wa wana cdm
In God we trust
Huyu jamaa fala Sana halafu kakomaa kuwaaminisha watu kuwa ni kweli, sijui anaona watu wote wajinga.Kumbe huyo pimbi kawaingiza watu mkenge teh Kuna Tanzania bara,visiwani na Tanzania mitandaoni
Ongeza na hizi mbili. Huu uzi hadi ujute kukutana na Great Thinker. Uliniblock na umeniunblock kuokoa jahazi hahahahahahah.
Unamuongeleaje Yule anayeshinda Google kutafuta magari mazuri na kuedit?Huyu kwanini asiwe PIMBI Mkuu?PIMBI ni yule anayetokwa na mapovu usiku kucha
In God we trust
Kumbe wengine watoto humu ndo maana kunafujo, we ulie anza kutumia sim toka mdogo unaumri gani mzeeWe mwehu mm sio mlamba makalio ila nakuambieni ukweli kua izo porojo za kuphotoshoot ni utoto wa hali ya juu....ndo tatizo la kutumia simu ukubwani!
Level Ya ujinga unayo Wewe unae andika ujinga, hata Kama Wewe ni fisi em pongeza huyo mtanzania mwenzio Roho mbaya Kama mkaanga sumuTatizo ni nini sasa, hata JKT Oljoro wana basi pia. Bwembwe nyingine zinaonyesha level ya ujinga.