Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

Status
Not open for further replies.
Sana sana wanakuona huna akili tu
Yani nipo sambamba kama wewe ulivyosambamba kuwaelimisha wanaovamia huu Uzi bila kujua kuwa ni Fix ya kiwango Cha SGR, unatamani ufute post zinazoonyesha uhalisia wa hilo basi lililokuwa uploaded April 2018.

In God we trust
 
Sema labda kapewa bus linalofanana na hilo but sio hilo.....hiyo huoni ni poor editing kabisa.....lakini kama kweli atakua kapewa bus kama hilo ushuru anaweza hata kuambiwa billion 10.....

Sisi cccm hatuna akili#

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wame edit hili hapa, fungua link Chini hapa..

scania touring de vip bus - Пошук Google

Screenshot_20190312-230438.png
 
Sana sana wanakuona huna akili tu

In God we trust
Anayedanganya eti Lissu kapewa basi kutoka Google images likapitia Photoshop ndo MPUMBAVU na hana akili, ila yeye ndo anajiona mjanja. Na mimi nipo kuwaelimisha watu kuhusu huu ujinga uliouleta humu.CDM wenye akili wote wameukimbia huu Uzi.Siku nyingine pangilia vizuri uongo wako.Usione watu wajinga.
 
Kwa povu hili nadhani itakuwa vema polisi waanze na wewe kuhusu wasiyo julikana walio mshambulia mh Lissu maana umeonyesha chuki ya kiwango cha juu sana juu ya mh Lissu na hatujui nini makusudi yako

In God we trust
Jibu hoja,hizo picha umezitoa wapi?

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Sana sana wanakuona huna akili tu

In God we trust
Watu wakiona hizi picha wanajua mtoa mada ni MPUMBAVU KIWANGO CHA SGR.
20190312_220417.jpeg
tapatalk_1552395006163.jpeg

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Leo lazima ukeshe tena na vibwengo vyako hivyo bila kujijua kuwa unasongesha uzi wa wana cdm
Watu wakiona hizi picha wanajua mtoa mada ni MPUMBAVU KIWANGO CHA SGR. View attachment 1044550View attachment 1044551

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.

In God we trust
 
PIMBI ni yule anayetokwa na mapovu usiku kucha
Kumbe huyo pimbi kawaingiza watu mkenge teh Kuna Tanzania bara,visiwani na Tanzania mitandaoni

In God we trust
 
Wanaumia sana

In God we trust
Itabidi huu uzi uulinde sana kwa kila mgeni aingiaye. Hapa ni ELIMU tu.
20190312_220417.jpeg
tapatalk_1552395006163.jpeg

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Leo lazima ukeshe tena na vibwengo vyako hivyo bila kujijua kuwa unasongesha uzi wa wana cdm

In God we trust
Uzi ungenoga kama Tungeshindwa kukuumbua, So kila anayeingia anapewa ukweli anapita hivi. Tuko nawe sambamba hadi akili ikukae sawa.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Kumbe huyo pimbi kawaingiza watu mkenge teh Kuna Tanzania bara,visiwani na Tanzania mitandaoni
Huyu jamaa fala Sana halafu kakomaa kuwaaminisha watu kuwa ni kweli, sijui anaona watu wote wajinga.
 
PIMBI ni yule anayetokwa na mapovu usiku kucha

In God we trust
Unamuongeleaje Yule anayeshinda Google kutafuta magari mazuri na kuedit?Huyu kwanini asiwe PIMBI Mkuu?
20190312_220417.jpeg
tapatalk_1552395006163.jpeg
tapatalk_1552395019100.jpeg

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom