Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

Status
Not open for further replies.
Tatizo ni nini sasa, hata JKT Oljoro wana basi pia. Bwembwe nyingine zinaonyesha level ya ujinga.
Suala sio basi Mkuu. Bali nikuonyesha kukubalika kwake hata nje ya mipaka ya nchi yetu. Pili kuungwa mkono na Wazalendo wenzetu waishio nje ni salamu tosha kwa chama chenu pamoja na wale wote wenye roho mbaya kama wale waliowatuma wasiojulikana kwenda kumdhuru Mh Lissu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa ndo mmeamua kumnunulia basi kutoka Google mkalipitisha Photoshop kulipiga chata za chama?

https://www.google.com/search?q=sca...-infinix-rev1&sourceid=chrome-mobile&ie=UTF-8
 
Hili basi la chama cha chadema huko ubelgiji huku Tz je??
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lumumba wamevurugwa baada ya hii habari kuwepo mitandaoni na chakubanga alichofanya ni kuwapa assignment maalum vijana wake kuhakikisha wanalikanusha hilo jambo ili lisijulikane kuwa cdm inakubalika hadi nje ya mipaka ya Afrika
In God we trust
 
Kwani mimi kukuuliza kuapnda kwa sh against us $ kuna ubaya gani?
Anyway tuyaache hayo kuhusu kilabu nimekesha nafurahia maisha hapa starehe nairobi

In God we trust
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Naona baada ya kupigwa viwili vitatu ukaona bora ukamnunulie Lisu gari Google

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo kwa vijana wa lumumba lugha zenu za matusi mmezizoea sana lkn mkitukanwa nyinyi mnalia kama mbwa koko
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Naona baada ya kupigwa viwili vitatu ukaona bora ukamnunulie Lisu gari Google

Sent using Jamii Forums mobile app

In God we trust
 
Hii ni zawadi kutoka kwa mabeberu au watanzania wanaoishi nje?, Maana kama ni kwa mabeberu naona juhudi za kuanza kuwadhamini kuelekea uchaguzi. Unapewa zawadi mwisho wa siku unajiachia then wanapata nafasi ya kukushawishi na kuchukuwa wanachokitaka kwenye Taifa lako.
 
Hivi na wale wanao idai serikali billion 110 nao wanapewa shukrani?
In God we trust
 
Subirini mandege yenu yakamatwe kulipia madeni
In God we trust
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…