Halaiser
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 4,230
- 6,653
Suala sio basi Mkuu. Bali nikuonyesha kukubalika kwake hata nje ya mipaka ya nchi yetu. Pili kuungwa mkono na Wazalendo wenzetu waishio nje ni salamu tosha kwa chama chenu pamoja na wale wote wenye roho mbaya kama wale waliowatuma wasiojulikana kwenda kumdhuru Mh Lissu.Tatizo ni nini sasa, hata JKT Oljoro wana basi pia. Bwembwe nyingine zinaonyesha level ya ujinga.
Sent using Jamii Forums mobile app