monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,781
- 13,444
Wao mbona wanaua wenzao kwa risasi?Jamani jamani mtaua watu kwa pressure
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wao mbona wanaua wenzao kwa risasi?Jamani jamani mtaua watu kwa pressure
Karne hii walafi na wanye nchi ni watawala wenye katiba kama hii tuliyo nayo.
Kwa nchi yenye katiba bora na miiko ya uongozi bila kujali vyama na maslahi ya watawala hakuna mtu mmoja anayeweza kuuza nchi.
Natamani sana nchi iondoke mikononi mwa SiSeMi ili mujue umuhimu wa kuwa na katiba bora inayowadhibiti watawala. Mumejiwahau sana na kuwaona watawala kuwa ni miungu kwa sababu tu ya kuwapa mamlaka ya kuwateua maelfu ya marafiki zao na wale wanaowataka na kuwaweka kwenye ulaji. Lakini sikukifanyiwa mnayofanyia binadamu wenzenu mtajua umuhimu wa kuwa na katiba bora na miiko ya uongozi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Show show show show show showKwahiyo hata huko Google lilipakiwa hivohivo kabla ya kuweka sticker?
The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Huu uzi unahusu cdm kupatiwa msaada wa basi la kufanyia kazi ya kukiimarisha chama.anza kunitajia NGO'S zilizo fungiwa
Alaf Mm na valontia kwny kituo cha watoto yatima sijawahi kusikia habari ya kulipia kodi labda kituo gani ndugu huwa mnafanya hivyo
Tena itakuwa vyema zaidi wakirudi kuja kuwekeza nyumbani Tz badala ya kuendeleza nchi zilizoendelea tayari.
Ha ha ha safari hii lazima watu waziraiJamani jamani mtaua watu kwa pressure
Tatizo la nyumbani ukishabikia upinzani ccm wanakupiga risasiTena itakuwa vyema zaidi wakirudi kuja kuwekeza nyumbani Tz badala ya kuendeleza nchi zilizoendelea tayari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kitu kama hicho watu tunatishana tu. Mara nyingi adui wa mtu huwa ni wale wa nyumbani mwake. Watu waliopigwa risasi Tanzania ni wa vyama vyote tena nadhani kuna hujuma fulani ilikuwa inaendelea chini kwa chini lakini kwa sasa imedhibitiwa na vyombo vya ulinzi na usalama. Na watanzania wengi hawajafundishwa kujilinda. Mfano mtu anakuja kunichukua au kunikamata akiwa amevaa kiraia halafu simwombi hata kitambulisho sio sawa. Hata kama amekuja na gari lenye namba za Serikali sikubali maana wahuni wanaghushi namba za magari pia.
Hakuna kitu kama hicho watu tunatishana tu. Mara nyingi adui wa mtu huwa ni wale wa nyumbani mwake. Watu waliopigwa risasi Tanzania ni wa vyama vyote tena nadhani kuna hujuma fulani ilikuwa inaendelea chini kwa chini lakini kwa sasa imedhibitiwa na vyombo vya ulinzi na usalama. Na watanzania wengi hawajafundishwa kujilinda. Mfano mtu anakuja kunichukua au kunikamata akiwa amevaa kiraia halafu simwombi hata kitambulisho sio sawa. Hata kama amekuja na gari lenye namba za Serikali sikubali maana wahuni wanaghushi namba za magari pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sio lijitu ni mtu, halafu uzuri sina chama na sina mpango wa kuwa mwanasiasa lakini nikisikia kitu chochote huwa nadadisi kwanza kabla sijakataa au kukubali. Nadhani unaelewa msemo huu "Akili za kuambiwa changanya na za kwako".Utakua unaishi nje ya nchi wewe. Watu wametekwa wengine wamepotea mpaka leo hawajulikani unaongea nini wewe.utakuwa lijitu la ccm wewe maana ndo zenu nyie
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaweza ila kwa kodi za wadanganyikaCCM wakiamua wanaingiza hata 10,000 -
Leo una kazi maana kila coment unajibu, hivi utakumbuka hata kumpa mmeo leo kweli?Wewe ulitaka vipi labda tuanzie hapo?
In God we trust
Lakini waliotekwa na kuteswa zaidi ni way chama kipi? Anzia hapo utapata jibu swafii.Hakuna kitu kama hicho watu tunatishana tu. Mara nyingi adui wa mtu huwa ni wale wa nyumbani mwake. Watu waliopigwa risasi Tanzania ni wa vyama vyote tena nadhani kuna hujuma fulani ilikuwa inaendelea chini kwa chini lakini kwa sasa imedhibitiwa na vyombo vya ulinzi na usalama. Na watanzania wengi hawajafundishwa kujilinda. Mfano mtu anakuja kunichukua au kunikamata akiwa amevaa kiraia halafu simwombi hata kitambulisho sio sawa. Hata kama amekuja na gari lenye namba za Serikali sikubali maana wahuni wanaghushi namba za magari pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo kodi itakayopigwa?! Lazima libaki customKwa wapenzi wa demokrasia popote walipo ulimwenguni lazima tumpongeze mh Lissu kwa kukubalika kwake duniani kote.
Mh amekabidhiwa basi jipya kabisa ili litumike kukiimarisha chama chetu pendwa cdm na watanzania wanao ishi ubelgiji hongereni sana ndugu zetu.View attachment 1043864
In God we trust