Hiyo ni 10,000 dash au 10,000 kutoa?CCM wakiamua wanaingiza hata 10,000 -
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ni 10,000 dash au 10,000 kutoa?CCM wakiamua wanaingiza hata 10,000 -
Shida sio nani katekwa bali nani mtakaji. Na kwa nini ateke. Na kwa nini aue watu wa tabaka fulani mfano mmoja tu nadhani unakumbuka idadi na aina ya watu waliouliwa Mkuranga, Rufiji na Kibiti. Ikiwa ni pamoja na askari na Viongozi wa Serikali za Vijiji na Vitongoji. Fikiria hapo kwanza. Kisha nitakupa mifano mingine zaidi.Lakini waliotekwa na kuteswa zaidi ni way chama kipi? Anzia hapo utapata jibu swafii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Barabara zilikuwepo tangu mkoloni pamoja na mkoloni kujenga barabara aliendelea kusemwa mpaka akatuachia nchi yetu pamoja na barabara alizojenga kwa mkono wake pamoja na viwanda vyake.Sawa tuu halafu lipite kwenye barabara zilizojengwa na Magufuli huku wakimdhihaki,
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ndipo penyewe, waliopigwa risasi ni wengi walio na vyama na wasio na vyama,lakini kwa wanachama wa CCM na kwa wale wasio na vyama angalau tumesikia watuhumiwa waliohusika wameuawa au wamekamatwa, lakini kwa tukio la Lissu hata mtuhumiwa wa kusingiziwa hajakamatwa.Hakuna kitu kama hicho watu tunatishana tu. Mara nyingi adui wa mtu huwa ni wale wa nyumbani mwake. Watu waliopigwa risasi Tanzania ni wa vyama vyote tena nadhani kuna hujuma fulani ilikuwa inaendelea chini kwa chini lakini kwa sasa imedhibitiwa na vyombo vya ulinzi na usalama. Na watanzania wengi hawajafundishwa kujilinda. Mfano mtu anakuja kunichukua au kunikamata akiwa amevaa kiraia halafu simwombi hata kitambulisho sio sawa. Hata kama amekuja na gari lenye namba za Serikali sikubali maana wahuni wanaghushi namba za magari pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
kwahiyo washajipanga nalo?Unadhani walio linunua hilo siyo wenye uelewa wa mazingira ya siasa za nchi yetu?
In God we trust
Hapo ndipo penyewe, waliopigwa risasi ni wengi walio na vyama na wasio na vyama,lakini kwa wanachama wa CCM na kwa wale wasio na vyama angalau tumesikia watuhumiwa waliohusika wameuawa au wamekamatwa, lakini kwa tukio la Lissu hata mtuhumiwa wa kusingiziwa hajakamatwa.
Shida sio nani katekwa bali nani mtakaji. Na kwa nini ateke. Na kwa nini aue watu wa tabaka fulani mfano mmoja tu nadhani unakumbuka idadi na aina ya watu waliouliwa Mkuranga, Rufiji na Kibiti. Ikiwa ni pamoja na askari na Viongozi wa Serikali za Vijiji na Vitongoji. Fikiria hapo kwanza. Kisha nitakupa mifano mingine zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo una kazi maana kila coment unajibu, hivi utakumbuka hata kumpa mmeo leo kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo magufuri hizo barabara kazijenga kwa kutumia mshara wake?Sawa tuu halafu lipite kwenye barabara zilizojengwa na Magufuli huku wakimdhihaki,
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo una kazi maana kila coment unajibu, hivi utakumbuka hata kumpa mmeo leo kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Chato!Tanzania yangu! Tunaelekea wapi?
Ni kweli kabisa ndio maana siku zote simkubali kabisa Mbowe na Genge lake.Nimekuelewa unasemaje kuhusu
(i). Katiba ya chama kama cha CHADEMA - Mwenyekiti ana uhalali wa kuwa kwenye madaraka hayo kwa karibia miongo mitatu?
(ii). Katiba ya chama kama cha NCCR Mageuzi - Mwenyekiti ana uhalali wa kuwa kwenye madaraka hayo kwa karibia miongo mitatu?
(iii). Chama cha TLP - Mwenyekiti ana uhalali wa kuwa kwenye madaraka hayo kwa karibia miongo mitatu?
(iv). Chama cha CUF - Mwenyekiti ana uhalali wa kuwa kwenye madaraka hayo kwa takriban miongo mitatu?
In short kama taasisi za vyama zinaendeshwa kidikiteta hatuwezi kutegemea taasisi hizo zitoe viongozi kama rais wenye uwezo wa kusimamia katiba?
TAASISI ZA VYAMA ZIBADILIKE KWANZA
sijui itakuja kwa njia gani nawaza tu hapo bandariniKwa wapenzi wa demokrasia popote walipo ulimwenguni lazima tumpongeze mh Lissu kwa kukubalika kwake duniani kote.
Mh amekabidhiwa basi jipya kabisa ili litumike kukiimarisha chama chetu pendwa cdm na watanzania wanao ishi ubelgiji hongereni sana ndugu zetu.View attachment 1043864
In God we trust