Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

Status
Not open for further replies.

Nimekuelewa unasemaje kuhusu
(i). Katiba ya chama kama cha CHADEMA - Mwenyekiti ana uhalali wa kuwa kwenye madaraka hayo kwa karibia miongo mitatu?
(ii). Katiba ya chama kama cha NCCR Mageuzi - Mwenyekiti ana uhalali wa kuwa kwenye madaraka hayo kwa karibia miongo mitatu?
(iii). Chama cha TLP - Mwenyekiti ana uhalali wa kuwa kwenye madaraka hayo kwa karibia miongo mitatu?
(iv). Chama cha CUF - Mwenyekiti ana uhalali wa kuwa kwenye madaraka hayo kwa takriban miongo mitatu?

In short kama taasisi za vyama zinaendeshwa kidikiteta hatuwezi kutegemea taasisi hizo zitoe viongozi kama rais wenye uwezo wa kusimamia katiba?

TAASISI ZA VYAMA ZIBADILIKE KWANZA
 
Kwahiyo hata huko Google lilipakiwa hivohivo kabla ya kuweka sticker?

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Show show show show show show

In God we trust
 
anza kunitajia NGO'S zilizo fungiwa
Alaf Mm na valontia kwny kituo cha watoto yatima sijawahi kusikia habari ya kulipia kodi labda kituo gani ndugu huwa mnafanya hivyo
Huu uzi unahusu cdm kupatiwa msaada wa basi la kufanyia kazi ya kukiimarisha chama.

In God we trust
 
Tatizo la nyumbani ukishabikia upinzani ccm wanakupiga risasi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kitu kama hicho watu tunatishana tu. Mara nyingi adui wa mtu huwa ni wale wa nyumbani mwake. Watu waliopigwa risasi Tanzania ni wa vyama vyote tena nadhani kuna hujuma fulani ilikuwa inaendelea chini kwa chini lakini kwa sasa imedhibitiwa na vyombo vya ulinzi na usalama. Na watanzania wengi hawajafundishwa kujilinda. Mfano mtu anakuja kunichukua au kunikamata akiwa amevaa kiraia halafu simwombi hata kitambulisho sio sawa. Hata kama amekuja na gari lenye namba za Serikali sikubali maana wahuni wanaghushi namba za magari pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utakua unaishi nje ya nchi wewe. Watu wametekwa wengine wamepotea mpaka leo hawajulikani unaongea nini wewe.utakuwa lijitu la ccm wewe maana ndo zenu nyie
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utakua unaishi nje ya nchi wewe. Watu wametekwa wengine wamepotea mpaka leo hawajulikani unaongea nini wewe.utakuwa lijitu la ccm wewe maana ndo zenu nyie

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sio lijitu ni mtu, halafu uzuri sina chama na sina mpango wa kuwa mwanasiasa lakini nikisikia kitu chochote huwa nadadisi kwanza kabla sijakataa au kukubali. Nadhani unaelewa msemo huu "Akili za kuambiwa changanya na za kwako".

Nina mifano mingi ya kukueleza lakini naona umeshashawishiwa kuwa mshabiki wa kisiasa wakati mimi sina ushabiki wa kisiasa. Hivyo siku ukielewa nilichosema hapo juu utakiri kweli, lakini usipokielewa basi sina namna ya kukusababisha uelewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini waliotekwa na kuteswa zaidi ni way chama kipi? Anzia hapo utapata jibu swafii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo kodi itakayopigwa?! Lazima libaki custom
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…