Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

Status
Not open for further replies.
Nimeona broo shida sana watu wazua zua tu mavitu ambayo hata hayapo yaani
Na jamaa aliyeleta huu uongo kakomaa na Uzi wake, watu wakiuliza kuhusu kulitoa bandarini anawapa majibu.Ninahisi ana matatizo ya akili huyu.Sio kawaida kwa mtu ambaye yupo sawa kiakili au ushabiki wa kitoto.
 
Watu wanakuona zuzu tu kwa kuchunia hiyo mikatuni yako

In God we trust
Katuni ni hiyo iliyopigwa chata za CHADEMA, haipo gazeti Wala popote mtandaoni, Ina maana hiyo zawadi basi umempa wewe.Hivi mkuu tuwe serious kidogo, umewahi kuugua ugonjwa wa AKILI siku za nyuma!?????... Nahisi haupo sawa kiakili.Umekomaa na uongo wako, kwa mtu mwenye akili timamu angeshajiona mjinga kuleta story za PHOTOSHOP.Hivi hujiulizi hata wafuasi wa CDM na LISSU maarufu humu JF wanaotumia LOGIC kwenye argument zao mfano mmoja Tindo huwezi kuwaona kwenye Uzi wako, hujiulizi?,inabidi ukapimwe AKILI mkuu, Kuna nati zimelegea mahali.
 
Unajichooshaaaa[emoji1787][emoji23]
In God we trust
 
Usinione kimya mkuu bado natafuta clues za kukujibu na kukupa picha kamili ya maisha ya Tanzania enzi hizo za Mwalim Nyerere.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tazama vizuri kama hayo magari yanafanana kabla ya kupinga kwa hoja dhaifu. Hayo magari mawili uliyoonesha hapo hayafanani hata kidogo.
Dah... Kumbe mpo wengi, kwahiyo unaamini Tundu Lissu kazawadiwa Basi jipya aina ya Scania??, Umeiona hii story popote au kuisikia zaidi ya kutoka kwa huyu jamaa anaitwa Mmamia?, Kweli mahaba ni upofu,haya mabasi tofauti ni ipi?, Au wewe ni yule yule mleta mada kwa ID tofauti??


Tofauti nini hapo?.., SERA MBADALAπŸ˜›πŸ˜›
 
Ooh, kumbe ndivyo ilivyo!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…