Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa ambao ndo mnaingia kwenye Uzi huu, hii ni PHOTOSHOP tu.. , Nitaendelea kuwaelimisha tu.. Ushahidi hapa Chini, fungua Link ifuatayo...
scania touring de vip bus - Пошук Google
View attachment 1046906
View attachment 1046907
Ha ha ha ha ha ha hatari sana kwakweliMkuu usipate tabu Sana.. hiyo picha ni ya PHOTOSHOP ., Lissu hajapewa basi lolote yupo anaomba msaada baada ya mshahara kuondolewa.Nakuwekea picha na link ya walipotoa picha ya hilo basi waliloedit na kuweka maneno yao...
View attachment 1046890
Wanawaona watu wajinga?,kati ya hizo picha ipi PHOTOSHOP na ipi original?... Fungua na hii link ujionee hilo basi lilipochukuliwa...Ha ha ha ha ha ha hatari sana kwakweli
Nimeona broo shida sana watu wazua zua tu mavitu ambayo hata hayapo yaaniWanawaona watu wajinga?,kati ya hizo picha ipi PHOTOSHOP na ipi original?... Fungua na hii link ujionee hilo basi lilipochukuliwa...
scania touring de vip bus - Пошук Google
Na jamaa aliyeleta huu uongo kakomaa na Uzi wake, watu wakiuliza kuhusu kulitoa bandarini anawapa majibu.Ninahisi ana matatizo ya akili huyu.Sio kawaida kwa mtu ambaye yupo sawa kiakili au ushabiki wa kitoto.Nimeona broo shida sana watu wazua zua tu mavitu ambayo hata hayapo yaani
Katuni ni hiyo iliyopigwa chata za CHADEMA, haipo gazeti Wala popote mtandaoni, Ina maana hiyo zawadi basi umempa wewe.Hivi mkuu tuwe serious kidogo, umewahi kuugua ugonjwa wa AKILI siku za nyuma!?????... Nahisi haupo sawa kiakili.Umekomaa na uongo wako, kwa mtu mwenye akili timamu angeshajiona mjinga kuleta story za PHOTOSHOP.Hivi hujiulizi hata wafuasi wa CDM na LISSU maarufu humu JF wanaotumia LOGIC kwenye argument zao mfano mmoja Tindo huwezi kuwaona kwenye Uzi wako, hujiulizi?,inabidi ukapimwe AKILI mkuu, Kuna nati zimelegea mahali.Watu wanakuona zuzu tu kwa kuchunia hiyo mikatuni yako
In God we trust
Katuni ni hiyo iliyopigwa chata za CHADEMA, haipo gazeti Wala popote mtandaoni, Ina maana hiyo zawadi basi umempa wewe.Hivi mkuu tuwe serious kidogo, umewahi kuugua ugonjwa wa AKILI siku za nyuma!?????... Nahisi haupo sawa kiakili.Umekomaa na uongo wako, kwa mtu mwenye akili timamu angeshajiona mjinga kuleta story za PHOTOSHOP.Hivi hujiulizi hata wafuasi wa CDM na LISSU maarufu humu JF wanaotumia LOGIC kwenye argument zao mfano mmoja Tindo huwezi kuwaona kwenye Uzi wako, hujiulizi?,inabidi ukapimwe AKILI mkuu, Kuna nati zimelegea mahali.
Bado unatetea huu UPUMBAVU WAKO!??????Watu wanakuona zuzu tu kwa kuchunia hiyo mikatuni yako
In God we trust
Wewe ndiyo Mpumbavu na huna akili shenzi mkubwa weweBado unatetea huu UPUMBAVU WAKO!??????
Hivi una akili kweli???
scania touring de vip bus - Пошук Google
View attachment 1046973
Usinione kimya mkuu bado natafuta clues za kukujibu na kukupa picha kamili ya maisha ya Tanzania enzi hizo za Mwalim Nyerere.Nakushangaa sana. Unadai wewe ni mwananchi mzalendo, hivyo unavipongeza vyombo vya usalama kwa kupoteza raia!!! Maajabu. Nimekupa mfano mmjoja wa Mikoa ya Kanda ya Ziwa miaka ya 1977/78 kwenye mauaji ya "wachawi"
Wakati Rais mwenye kuheshimu Misingi ya Utawala bora, Mwalimu J. K. Nyerere, aliunda Tume ya Uchunguzi juu ya suala hilo. Matokeo Ni kwamba ukweli ulithibitika kuwa vyombo vya ulinzi na usalama unavyovisifu leo vilipatikana na tuhuma zilisababisha Waziri wa mambo ya ndani Ali Hassan Mwinyi, Wakuu wa Mikoa mitatu ya Mwanza, Shinyanga, Tabora walijiuzulu na Inspector Generali Polisi walijiuzulu. Baadhi ya viongozi wa vyombo vya usalama wakiwemo wa Usalama wa Taifa walipelekwa mahakamani na kupatikana na hatia. Kwa hiyo si suala la upinzani wa kisiasa. Suala Ni kuwa hata wale wanaooneka kutaka kujua ukweli wa kilichokuwa kinatokea MKIRU kwa kukusanya data, wanatoweka!!!! Mfano Ni Azory Gwanda mwandishi wa gazeti la mwananchi.
Wabunge wa maeneo hayo wamepeleka data ya watu wanaokaribia 400 kutoweka. Hili si suala wabunge tu wa upinzani, maana wabunge wanaotoka maeneo ya MKIRU Ni mchanganyiko.
Muhimu hapa Ni Serikali inayojinasibu kuwa ya Wanyonge kuja hadharani na kutuambia Nini hasa kilikuwa kinatokea katika maeneo hayo, na watu wangapi wamepata maumivu yasiyo halali wakiwepo Polisi.
Mwisho, Aliyekuambia kuwa Amerika Ni mfano tukuka wa demokrasia duniani alikudanganya. Lakini waamerika wana tabia moja iliyotukuka kwamba: Hawako tayari kuuvumilia ujinga wa viongozi wao.
Nakuombea ukae kimya milele, maana una mentality za kiuuaji!!!!Usinione kimya mkuu bado natafuta clues za kukujibu na kukupa picha kamili ya maisha ya Tanzania enzi hizo za Mwalim Nyerere.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tazama vizuri kama hayo magari yanafanana kabla ya kupinga kwa hoja dhaifu. Hayo magari mawili uliyoonesha hapo hayafanani hata kidogo.Hakuna basi hapo ni PHOTOSHOP....
Mnakaribia kuokota makopo..View attachment 1046892
Mkuu huyu ni mtoto wa kike
Dah... Kumbe mpo wengi, kwahiyo unaamini Tundu Lissu kazawadiwa Basi jipya aina ya Scania??, Umeiona hii story popote au kuisikia zaidi ya kutoka kwa huyu jamaa anaitwa Mmamia?, Kweli mahaba ni upofu,haya mabasi tofauti ni ipi?, Au wewe ni yule yule mleta mada kwa ID tofauti??Tazama vizuri kama hayo magari yanafanana kabla ya kupinga kwa hoja dhaifu. Hayo magari mawili uliyoonesha hapo hayafanani hata kidogo.
Ooh, kumbe ndivyo ilivyo!Dah... Kumbe mpo wengi, kwahiyo unaamini Tundu Lissu kazawadiwa Basi jipya aina ya Scania??, Umeiona hii story popote au kuisikia zaidi ya kutoka kwa huyu jamaa anaitwa Mmamia?, Kweli mahaba ni upofu,haya mabasi tofauti ni ipi?, Au wewe ni yule yule mleta mada kwa ID tofauti??
View attachment 1047713
Tofauti nini hapo?.., SERA MBADALA😛😛