Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

Status
Not open for further replies.
Afe nani kwa matoi hayo - CCM iko level nyingine - acha LIssu aendelee kula mikataba ya kuuza nchi

Ila mikataba yote mmeweka kabatini lumumba na msoga sasa cjui nani anauza nchi


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ccm bila utapeli haiwezekani
Wangechukua mradi wa mwendokasi ccm na izo gari zao 10000 ingesaidia na wangeingiza mahela kibao


Sent from my iPhone using JamiiForums

In God we trust
 
Pole sana mwenye mawazo ya vimiminika(liquid)

Sent using Jamii Forums mobile app
Utaumia sana tu
FB_IMG_1552389461882.jpeg


In God we trust
 
Basi ni left hand drive; hii haina shida ila mbona maandishi hayaendani na body la bus? photo shop hii.
 
Mbowe atalitaifisha. Subiri tu.

Kama magu alivyotaifisha ile ngalawa yetu hata majaribio aikufanyika posta bagamoyo mbali basi hata ingekua inachukua watu kigamboni na kuwarushisha


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
CHAMA kimebaki kufake matukio ili kiendelee kusikika. Bavicha badala ya kuangaika kuja na Hoja za kujijengea uhaminifu kwa wananchi wao wanaangaika na Adobe Photoshop.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Hilo tu ndilo ulilokariri kutoka shule ya kata.
 
Litakuwa limepigwa tu rangi . Jipya kabisa sidhani bei kubwa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom