Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

Status
Not open for further replies.
Hahahaa, namna hii ndio mana babu lowassa karudi nyumbani,wanaleta utoto kwenye mambo ya msingi.eti hawa nao wanataka tuwape nchi!!!
Hawa jamaa wanaona watu mafala, wameona jamaa kapotea hasikiki wamemnunulia basi kutoka Google images..😀😀😀
 
basi tu la kwenye picha limesababisha uzi utembee kwa kasi sana..... vipi kama wangeagiza dreamliner?
 
Hawa jamaa wanaona watu mafala, wameona jamaa kapotea hasikiki wamemnunulia basi kutoka Google images..😀😀😀
Wanajijaza matangopori wenyewe halafu matokeo ya uchaguzi yakitoka wanaumia. Sasa sijui huwa wanakuwa washasahau!
Sasa photoshop itasaidiaje kwenye uchaguzi 2020??
 
Kwa wapenzi wa demokrasia popote walipo ulimwenguni lazima tumpongeze mh Lissu kwa kukubalika kwake duniani kote.
Mh amekabidhiwa basi jipya kabisa ili litumike kukiimarisha chama chetu pendwa cdm na watanzania wanao ishi ubelgiji hongereni sana ndugu zetu.View attachment 1043864

In God we trust
Sijui litapita wapi......bandarini, airport au wapi?
 
Mtachonga sana kwani bombadier si,Zinauzwa mitandaoni kosa ni nini hapo

SWISSME
Hivi wewe hapo ni showroom?Huoni kuwa imechukuliwa picha Google na kufanyiwa Photoshop?Au hii elimu huna?

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Wasio penda basi la Lissu wasipande wanywe juisi ya mwarobain lita 100 washushie pilipili kichaa na miwashawasha viva Lissu 2020 na Sera Mbadala
 
Ubelgiji ni nchi ndogo sana na kwasababu ya lugha, watz ni wachache sana wengi wao ni wa CCM na wametoa hilo bus kwa CHADEMA sio kwa Lissu. Gharama za kumpeleka Lissu na mkewe Marekani zingeweza kununua mabus mengi kakini mfadhili huchagua mwenyewe amsaidie nani. Kwa kuwa limenunuliwa litafika hapa kwa meli au litaendesha na dreva aliye huko. Watz wenye utu bila kujali itikadi tuwashukuru waliotoa msaada.
scania touring de vip bus - Пошук Google
 
Mi ntapanda hili
tapatalk_1552395006163.jpeg

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Ubelgiji ni nchi ndogo sana na kwasababu ya lugha, watz ni wachache sana wengi wao ni wa CCM na wametoa hilo bus kwa CHADEMA sio kwa Lissu. Gharama za kumpeleka Lissu na mkewe Marekani zingeweza kununua mabus mengi kakini mfadhili huchagua mwenyewe amsaidie nani. Kwa kuwa limenunuliwa litafika hapa kwa meli au litaendesha na dreva aliye huko. Watz wenye utu bila kujali itikadi tuwashukuru waliotoa msaada.
Screenshot_20190312-230438.png
Basi lenyewe ndo hili la PHOTOSHO alilonunuliwa Lissu kutoka Google images?,na wewe kwa akili zako umeamini Lissu kapewa basi?,kweli maajabu hayataisha duniani.
 
Ubelgiji ni nchi ndogo sana na kwasababu ya lugha, watz ni wachache sana wengi wao ni wa CCM na wametoa hilo bus kwa CHADEMA sio kwa Lissu. Gharama za kumpeleka Lissu na mkewe Marekani zingeweza kununua mabus mengi kakini mfadhili huchagua mwenyewe amsaidie nani. Kwa kuwa limenunuliwa litafika hapa kwa meli au litaendesha na dreva aliye huko. Watz wenye utu bila kujali itikadi tuwashukuru waliotoa msaada.
Rudi darasani kama umeshindwa kujua nini kimefanyika ktk hizo picha
20190312_220417.jpeg
tapatalk_1552395006163.jpeg

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Mi ntapanda hiliView attachment 1044316

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Acha kuvuta bangi chooni kama vipi Fungua uzi mpya huu unahusu kumpongeze mh Lissu kwa kukubalika kwake duniani kote.
Mh amekabidhiwa basi jipya kabisa ili litumike kukiimarisha chama chetu pendwa cdm na watanzania wanao ishi ubelgiji
 
Kwamba hakuna hata bavicha mmoja humu aliye na elimu ya Photoshop zaidi ya huyo mtoa mada?Kwamba hakuna hata bavicha mmoja humu mwenye viakili kidogo kuhoji source ya hiyo habari?mkiitwa nyumb ******* wanakosea?
20190312_220417.jpeg
tapatalk_1552395019100.jpeg
tapatalk_1552395006163.jpeg

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Acha kuvuta bangi chooni kama vipi Fungua uzi mpya huu unahusu kumpongeze mh Lissu kwa kukubalika kwake duniani kote.
Mh amekabidhiwa basi jipya kabisa ili litumike kukiimarisha chama chetu pendwa cdm na watanzania wanao ishi ubelgiji
Lissu kapewa basi la picha kutoka Google, ikapigwa chata ya CHADEMA kwenye PHOTOSHOP na wewe upo hapa unampongeza?,basi linanunuliwaga Google images?

Back
Top Bottom