Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

Status
Not open for further replies.
Kwa wale ambao ndo mnaingia kwenye Uzi huu, hili basi limenunuliwa google images likapigwa chata za Chadema Photoshop, akapewa Lissu JF.Nawawekea Link na ushahidi tena hapa Chini..

scania touring de vip bus - Пошук Google

Screenshot_20190312-230438.png
 
Hii ni zawadi kutoka kwa mabeberu au watanzania wanaoishi nje?, Maana kama ni kwa mabeberu naona juhudi za kuanza kuwadhamini kuelekea uchaguzi. Unapewa zawadi mwisho wa siku unajiachia then wanapata nafasi ya kukushawishi na kuchukuwa wanachokitaka kwenye Taifa lako.
Ile trilioni 1.5 mbona ilichotwa na mabeberu weusi
 
Kwa wapenzi wa demokrasia popote walipo ulimwenguni lazima tumpongeze mh Lissu kwa kukubalika kwake duniani kote.
Mh amekabidhiwa basi jipya kabisa ili litumike kukiimarisha chama chetu pendwa cdm na watanzania wanao ishi ubelgiji hongereni sana ndugu zetu.View attachment 1043864

In God we trust
Kweli ndio naamini sasa kua chadema imekwisha hawana sera wala nyimbo., hicho kibasi ndio cha kupigia makelele , mh Lowasa amewashika pabaya.
 
Kwa wapenzi wa demokrasia popote walipo ulimwenguni lazima tumpongeze mh Lissu kwa kukubalika kwake duniani kote.
Mh amekabidhiwa basi jipya kabisa ili litumike kukiimarisha chama chetu pendwa cdm na watanzania wanao ishi ubelgiji hongereni sana ndugu zetu.View attachment 1043864

In God we trust
Kama watu wenye mapenzi na nchi yao hiyo ela kwa ajili ya kununua basi wangechangia TASAF uwasaidie maskini au kama hawana imani na taasisi za kiserikali wametoa kwny NGOs zinazo fanya kazi na jamii kwa ukaribu
Ila mbongo ni kama Waafrika wengine na akili zetu zinafanana kwa sababu sisi wote ni Waafrika
 
Hao vijana wa lumumba washapumbazwa na chakubanga hivyo kutumia akili kufikiri kwao ni mtihani sana
Lowassa mwenyewe kamkimbia Lissu baada ya kusikia 2020 anataka kugombea

In God we trust
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom