Tundu Lissu azidi kujipatia Umaarufu, Aibukia kwa Shekh Othman

Bush Dokta

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2023
Posts
24,831
Reaction score
45,154
Hii sasa ni balaa, speed inatisha.

Leo ni siku ya tatu nimeona video clips tatu za wasanii Mbali mbali wanaoigiza Sauti ya Adv Tundu Lissu.

Kinachofurahisha zaidi ni wasanii hawa kuigiza maneno ya kizalendo, ya kiutu na upenda kwa Taifa la Tanzania.

Ni ukweli usiopingiza Tundu Lissu ameingia kwenye mioyo ya watu.

Clip nayo kumbuka ilipigwa Wasafii Media na Nyingine leo Nyumbani kwa Shekh Othman Maalim.


View: https://youtu.be/pQ4d0TynpVI?si=wJxj6MhpZMZxEbN5
 
Huyu jamaa ameigiza vizuri zaidi kwa Magufuli🥰🥰
 
Lucas Mwashambwa atabubujikwa na machozi aonapo thread za Namna hio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…