Pre GE2025 Tundu Lissu: Bora niitwe Mwanaharakati kuliko Mwanasiasa wa nipe nikupe, wanajua mimi sinunuliki

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Makamu Mwenyekiti CHADEMA Bara, Tundu Lissu kuhusu kuitwa Mwanaharakati na sio Mwanasiasa kwahiyo hafai kuwa Mwenyekiti wa Chama.

"Mwanaharakati inatumika kama neno huna sifa, Wanaharakati maarufu wa dunia hii ni kama Julius Nyerere, Nelson Mandela. Yeyote yule unayemfikiria katika Afrika hii ambaye aliongoza mapambano ya mabafiliko alikuwa Mwanaharakati, alikuwa mchochezi, alikuwa mhaini…"

"Yeyote anayeniita Mwanaharakati zaidi ananipa heshima [ananiweka katika jengo moja na hao niliowataja na wengine wengi].. ni jina la heshima sio jina la fedhea"

"Ukiambiwa wewe ni Mwanaharakati sio Mwanasiasa… Mwanasiasa anaonekaka huyo ni muongo muongo, uwe mlaghai laghai, ukipewa unachukua unaweka huku alafu huku unajifanya msafi, maana yake ni mtu ambaye mswahili swahili asiyeaminika. Kwa maana hiyo napendelea waendelee kuniita Mwanaharakati wasiniite Mwanasiasa wa nipe nikupe, kuna mtu alikaa kwenye kiti hicho hicho akasema bwana nikupe uache kunisema sema, ningekuwa Mwanasiasa wa aina hiyo ningechukua mfukoni maisha yakaendelea"


Your browser is not able to display this video.
Pia, Soma:
 
Usisahau Lissu anatembea na risasi kwa ajili kupambania nchi yetu kutoka kwa wala rushwa, wasiotaka kutoa HAKI. Wasiota kukosolewa miungu watu wa TZ
 
abdul alikuja kwako kufanya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…