Nyie domokaya sijui hamnaga kazi ya kufanya. Huyo mkimbizi lissu hamuoni wala hajui isipokua ubabaishaji wa mambo tu. Kila kitu eti katiba ndio mbaya ili tu nchi ipoteze fedha kuandika katiba ya kuruhusu ushoga na kutoa haki ya wezi na fisadi kuibia nchi bila ya wao kua na hofu ya kufungwa jela na kudaiwa kulipa mali walizofisidi.27 November 2020
#LIVE MADA: BUNGE NA VITI MAALUM. WAZUNGUMZAJI TUNDU LISSU ZITTO KABWE, MARY NDARO, CHAMBI CHACHAGE
Uharamia wa mfumo wa serikali kuhalalisha viti maalum vya Bunge la Muungano Tanzania
Source : Sauti ya Up
Safi sana.26 November 2020
Paris, France
Tundu Lissu on F24; Tanzania opposition leader vows to keep fighting
Tundu Lissu, the Tanzanian opposition leader who fled to Belgium after losing last month's election to President John Magufuli, calls for the international community to sanction his administration.
Source : France 24 English