PostGE2025 Tundu Lissu: CCM wanazima moto Kwa kumwagia petrol, wataungua wao wenyewe

PostGE2025 Tundu Lissu: CCM wanazima moto Kwa kumwagia petrol, wataungua wao wenyewe

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Salamu kutoka gerezani Ukonga;

Tundu Lissu yupo salama, anawasalimia wote na kuwapa pole Kwa mambo mabaya yaliyotokea kuanzia tarehe 29.

Amesema CCM wanazima moto Kwa kumwagia petrol, wataungua wao wenyewe.
Tusikate tamaa ushindi umekaribia.
Tukutane Mahakamani Kesho.

1762680259131.png
 
Salamu kutoka gerezani Ukonga;

Mh Lissu Tundu Lissu yupo salama, anawasalimia wote na kuwapa pole Kwa mambo mabaya yaliyotokea kuanzia tarehe 29.

Amesema CCM wanazima moto Kwa kumwagia petrol, wataungua wao wenyewe.
Tusikate tamaa ushindi umekaribia.
Tukutane Mahakamani Kesho.

Tutakuwepo Mahakamani, na pia tutakujulisha wapi tumefikia🙏
 
Message ipo very CLEAR..hope wamesikia Mnyampaa..Mungu wa Mbinguni azidi kukutia NGUVU....soon tu, kuna kucha
 
Back
Top Bottom