Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amesema madai yanayotolewa kwamba chama hicho kinaogopa uchaguzi hayana ukweli wowote na kusisitiza kwamba wanachotaka ni mabadiliko katika mfumo wa uchaguzi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Lissu ameyasema hayo kwenye mkutano wa hadhara wakati akihutubia kwenye mkutano wa hadhara mkoani Iringa.