Mawazo mfu ndio NAKATAA, Haki ya kutoa Mawazo mtu ni ya Kikaba. La sivyo hujui unadai nini. Unaweza kuwa muda uko unavuka mto gurumet kwenda upande wa pili kwa kufuta tuKama unasubiri mimi nafanya nini ili nawe utake katiba kifupi hujitambui.
Yaani Rais atoke Ikulu akakamate wezi wa mafuta? Nini kazi ya wasaidizi wake aliowateua kuanzia DC, RC, OCD, RPC, IGP, TAKUKURU? Au bado mnataka ule utawala wa oneman show? Kila kitu hata ikiwa kujenga choo cha primary school hadi Rais aende
Maisha ni mafupi sana ni takribani miezi mtatu tu mliyekuwa mnamtetea na kutembea na msururu wa magari 100 sasa ni chakula cha funza.Legacy sasa hivi makengeza ameshaamshwa na CHA ASUBUHI kutola kwa Sabaya.
Au mmeshajua aliko ?
You are contradicting yourself ina maana haki ya kutoa mawazo ni ya CCM pekee Chadema hawana hiyo haki.Mawazo mfu ndio NAKATAA, Haki ya kutoa Mawazo mtu ni ya Kikaba. La sivyo hujui unadai nini. Unaweza kuwa muda uko unavuka mto gurumet kwenda upande wa pili kwa kufuta tu
Hata wewe ni CHAKULA cha FUNZA tu. Juzi tu hapo KAka wa Mbowe amekuwa CHAKULA CHA FUNZA.Maisha ni mafupi sana ni takribani miezi mtatu tu mliyekuwa mnamtetea na kutembea na msururu wa magari 100 sasa ni chakula cha funza.
Acha Mungu aitwe Mungu.
Hao viongozi bora utawazaa wewe?Kuna nchi katika Afrika yenye katiba "bora" kuliko Afrika Kusini? Ubora wao wa katiba umewafikisha wapi? Last I checked, SA is one of the most dysfunctional states in the world. Kilichobaki cha maana pale SA ni kalegacy ka miundombinu ya mkaburu tu vinginevyo ile nchi inaelekea kibra.
Tanzania haihitaji katiba mpya kwa sasa. Tunachohitaji ni viongozi bora watakaotafsiri ideals zilizomo kwenye katiba tuliyonayo na kujenga nchi imara nyanja zote. Hao wanaolilia katiba mpya waulize je kwenye vyama vyao wana katiba bora?
Wananchi wepi unaowasemea wanajitambua au wanaopewa kanga na chumvi wakati wa uchaguzi mkishaingia bungeni mnawaongezea tozo.Sasa Hiv wananchi wanajitambua wana akili zaman mlikuwa mnawatumia alafu wakiumizwa mnakimbia ubeligiji mnawaacha sasa mmepuuzwa
Rais anajua kama tatizo lipo kwenye katiba ndiyo maana akaomba apewe muda nyie hamtaki unadhani rais atafanyaje wakati yeye ni Amiri Jeshi.Kutoingia barabarani sio kuwa tatizo halipo.
Inashangaza sana, mtu kusahau kuwa " kila nafsi itaonja umauti" Kwa hiyo wao wanaona hawatakufa?Hata wewe ni CHAKULA cha FUNZA tu. Juzi tu hapo KAka wa Mbowe amekuwa CHAKULA CHA FUNZA.
Kuwa Msukule wa makengeza Mbowe siyo Kinga ya kutokuwa Chakula cha funza. Zindukaaaa
Mkishakunywa kisusio kilichochacha kwa kuchanganya na mbege mnajiona Mungu ni kaka yenu kwaajili yenu tu.
Katiba siyo mali ya rais hadi aombwe katiba ni mali ya wananchi.Rais anajua kama tatizo lipo kwenye katiba ndiyo maana akaomba apewe muda nyie hamtaki unadhani rais atafanyaje wakati yeye ni Amiri Jeshi.
Nyerere alizaliwa na katiba?Hao viongozi bora utawazaa wewe?
Eti ukinipiga unanionea ukiniacha unaniogopa, Tundu Lissu huyu huyu aliyejitoa mhanga kupambana na Hayawani mpaka Hayawani aka panic na kujaribu kumuua leo unamuita muoga.Tundu Lisu mwongo!! Anasukumiza wenzake mbele wakati yeye alikimbia kwa woga! Anyamaze. Kama anataka na yeye angekuwa pale mwanza.
C walisema watamnyoa mama, labda wameanza Sasa, mama awe makini sana na Hawa jamaaa, hao hawana Jema, mama kawarudishia pesa walizo lipa faini ktk kesi zaidi ya 38ml kila mmoja Sasa wanamuonea mbaya na pesa hizo wanazitumia kumchafua mama yetu na kuzurura nazo nchi nzima.Haya ndo madhara ya mama kucheka na nyani,na bado mama asipokaza watamzingua mpaka atachutama.
Mbona huongelei hao Wapinzan uchwara ambao wakipewa kacheo wanasau wananchi kabisa wanajal matumbo yao tu wako wap akina silinde lijualikali akina mdeeWananchi wepi unaowasemea wanajitambua au wanaopewa kanga na chumvi wakati wa uchaguzi mkishaingia bungeni mnawaongezea tozo.
Kuna watu wakipata madaraka wanajiona miungu watu wanasahau kuna kifo wanajiona wao jiwe halifi.Inashangaza sana, mtu kusahau kuwa " kila nafsi itaonja umauti" Kwa hiyo wao wanaona hawatakufa?
Sent from my 5033X_EEA using JamiiForums mobile app
Ni kweli Katiba ni mali ya wananchi siyo mali ya Mbowe, siku wananchi wenyewe wakiitaka watapewa Mbowe katumwa na Chadema siyo wananchi.Katiba siyo mali ya rais hadi aombwe katiba ni mali ya wananchi.
Ukoo wa kambale. Kama Mbowe mwenyewe mmeshindwa kumwambia asijimilikishe chama mna guts gani za kudai eti katiba si mali ya Rais? Kwa taarifa yako katika nchi yetu Rais anamiliki hadi ardhi ulipojenga kibanda chako. Hutaki hamia Rwanda.Katiba siyo mali ya rais hadi aombwe katiba ni mali ya wananchi.
Kesi za kubambikiziwa hizo hata yeye alikiri.C walisema watamnyoa mama, labda wameanza Sasa, mama awe makini sana na Hawa jamaaa, hao hawana Jema, mama kawarudishia pesa walizo lipa faini ktk kesi zaidi ya 38ml kila mmoja Sasa wanamuonea mbaya na pesa hizo wanazitumia kumchafua mama yetu na kuzurura nazo nchi nzima,
Mama kamuachia Mdude siku hiyohiyo kamtukana tusi kubwa tu"Eti atamnyoa"
Mama wa watu Hana makuu na mtu lakini bado anaambiwa anaipiga mwingi,
Wanapima kina Cha maji,
Watapewa na nani.Ni kweli Katiba ni mali ya wananchi siyo mali ya Mbowe, siku wananchi wenyewe wakiitaka watapewa Mbowe katumwa na Chadema siyo wananchi.