Hata mwendazake alikuwa anasema ardhi yote ya Tanzania ilikuwa mali yake na kibanda nilipojenga alikuwa anakimiliki, 😁😁😁😁😁Ukoo wa kambale. Kama Mbowe mwenyewe mmeshindwa kumwambia asijimilikishe chama mna guts gani za kudai eti katiba si mali ya Rais? Kwa taarifa yako katika nchi yetu Rais anamiliki hadi ardhi ulipojenga kibanda chako. Hutaki hamia Rwanda.
Ndio shida ya elimu za nchi hii,huyu utakuta ni graduate wa chuo kikuu, million sita iko wapi sasa hapo? Mnajidhalilisha bure tu,pumbav.Milioni 6!!? Kuwa siriazi kwanza kaka
Yeah that is the power of the President kwa nchi yetu. Mnataka Rais awe weak ili mumfanye nini?Hata mwendazake alikuwa anasema ardhi yote ya Tanzania ilikuwa mali yake na kibanda nilipojenga alikuwa anakimiliki, 😁😁😁😁😁
Wewe huoni kwamba amesha edit, mwanzoni aliandika mil 6, we ndo umejidhalilisha.Ndio shida ya elimu za nchi hii,huyu utakuta ni graduate wa chuo kikuu, million sita iko wapi sasa hapo? Mnajidhalilisha bure tu,pumbav.
Wewe ni fuala sana unajua hata mjadala ulivyoanza?Ndio shida ya elimu za nchi hii,huyu utakuta ni graduate wa chuo kikuu, million sita iko wapi sasa hapo? Mnajidhalilisha bure tu,pumbav.
Achana nae mzee mwenzangu fuala huyoWewe huoni kwamba amesha edit, mwanzoni aliandika mil 6, we ndo umejidhalilisha.
Sent from my 5033X_EEA using JamiiForums mobile app
Kwani hajakamatwa? Mara ya mwisho nimesikia kuhusu hilo ni kwamba Makalla alienda kule na aliamuru watu wakamatweKwani yeye ndio kaenda kuzuia hao cdm kwenye kongamano? Si ametoa amri tu, kama kweli ana uwezo huo kwanini asiwaagize hilo kundi la askari kwenda kumkamata aliyejiunganishia?
Huwezi amini mpaka leo kuna watu wanaona hakuna umuhimu wa katiba mpya, na wengi wao ni wale wenye maslahi na mfumo uliopo kwa sasa. Kwa namna yaliyotokea na mambo yatavokuja huko mbele tusipopata katiba mpya sijui itakuaje.. imagine Mwigulu kagombea uraisi kapata na kwa katiba hii.. tutalima kwa menoMadai ya katiba mpya sio suala la mama kucheka na watu. Mama alitakiwa akamate waliojiunganishia bomba la mafuta ili kuonyesha uwezo wake maana hao ni wahalifu, sio kupambana na watu wanaodai katiba mpya kwa amani.
Sama bandiko vizuri: Elfu sita.Milioni 6!!? Kuwa siriazi kwanza kaka
Ona hili nalo linadamka tuSama bandiko vizuri: Elfu sita.
Hutaki?Milioni 6!!? Kuwa siriazi kwanza kaka
Badamu batamwagikaNi kweli watamzingua. Arudishe tu muziki wa JPM bila aibu
Mtu ya congo unafanya nini huku?Hutaki?
Kwani Jiwe hakuwa strong yuko wapi.Yeah that is the power of the President kwa nchi yetu. Mnataka Rais awe weak ili mumfanye nini?
ndg punguza jaziba niMilioni 6!!? Kuwa siriazi kwanza kaka
Hakuwa weak na kufa kwake si mwisho wa yale aliyokuwa akiyaamini na kuyasimamia. Mnataka mama ajilegeze ili mumfanye nini?Kwani Jiwe alikuwa weak yuko wapi.
Hahah kama ujui haya mambo nenda kacheki series utaenjoy sanandg punguza jaziba ni
Elf 6,(6000)
Au mburundi wewe kiswahili kinakupa tabu
Hata akifuata njia ya mwendazake who cares tutasahau kama tulivyomsahau mtangulizi wake.Hakuwa weak na kufa kwake si mwisho wa yale aliyokuwa akiyaamini na kuyasimamia. Mnataka mama ajilegeze ili mumfanye nini?