PreGE2025 Tundu Lissu: Daftari la Wapiga Kura liandikishwe upya, majina mengi ni 'Marehemu'

PreGE2025 Tundu Lissu: Daftari la Wapiga Kura liandikishwe upya, majina mengi ni 'Marehemu'

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Antiphas Lissu amedai kuwa daftari la wapiga kura lina majina mengi yasiyo halali hivyo kutaka daftari hilo liandikishwe upya.
 
Anachokisema Lisu ni kweli tupu. Mbowe kwa wakati wake alikuwa anayefahamu haya mambo lakini aliamua kukaa kimya
 
Back
Top Bottom