Yaani hawalali usiku kucha ni kujadili Lisu kaongea nini, nadhani akina slow slow hata mabanzi wanachezea sanaMagu anacheza Ngoma ya Lissu..
hapo atawakusanya akina polepole wampe majibu ya kumpa Lissu....
daaahhh eti Amelegea.
Mnaye Mgombea ambaye kwa akili zenu mnahisi anafanya vizuri majukwaani, Kwanini mnahangaika na Mgombea asiye wa Kwenu? Kwanini mna wasiwasi, Asifanye jambo lolote tayari mmo, why?Mh.amerejea Dodoma kwa ajili ya Herbination Process&Regrouping,hali ni tete huko field.Lissu anatakiwa ajibu shambulizi na upotoshaji unaoendelea kuhusu Sera ya Majimbo iliyohubiriwa na CHADEMA persistently since it's foundation,why worrying now?Decentralization(Ugatuzi wa Madaraka) ni kitu kigeni?
Tafuteni kazi za kufanya jamaa yenu anajiandaa kurudi kwaoOktoba lazima nguvu zirudi za kumgongea Lisu walau viwili siku ya tarehe 28.
Lisu lazima aende kwa Amsterdam akiwa na machozi tele
kuhusu mifuko yahifadhi ya jamii hapa chi imegota hanna kinacho endelea ni urushi tuMayanga Construction
Mpwa mlipaji Mkuu
Kufilisi mifuko ya jamii
Fao la kujitoa...hapa sekta binafsi ndio wengi, Jiwe hapatti Kura...Labda amejiandaa kuiba. NSSF hawalipi kabisa mafao
How can any Tanzanian relax in this kind of situation?Relax Chief Gellangi, kisha andika taratibu ili ueleweke.
Ndoto za uvunguni hizo acheni kuwaza kwa Akili za kuazima tokea kwa cyprian MusibaSauti isiyokuwa na matumaini nasikia toka mdomoni mwa lissu,he is fighting for his last breathe.
Mbowe kamuuzia mbuzi ndani ya gunia huyu Lissu
Sorry for CHADEMA followers.
Dah mkuu hii avatar imenichanganya 'Mzee wa Chura', rejesha ile ya awali.Ameshalegea![emoji16][emoji16][emoji16]
Vibwengu kama wew mnamchezea mzee mpk anaonekana kituko kwa upuuzi na ulaghai wenuLisu amekata tamaa ameacha siasa amekuwa mwanahatakati mpya
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Hiki king'eng'e kwa hakika kinawaumbua, heri kujikita katika Kiswahili ingawa na Kiswahili nacho mmh. Si ajabu na wewe digba sowey ukawa na PhD!Sauti isiyokuwa na matumaini nasikia toka mdomoni mwa lissu,he is fighting for his last breathe. Sorry for CHADEMA followers.
Kumbe Magufuli ndiyo michezo yake🤣🤣🤣🤣... magufuli sio riziki..
Kwa mtu msomi na muelewa huwa anakosoa na kutoa suruhu /masahihisho ni wapi mtu kakosea,tofauti na hapo na wewe ni wale wale,ungenionesha nilipokosea ningekuona wa maaana sana,Hiki king'eng'e kwa hakika kinawaumbua, heri kujikita katika Kiswahili ingawa na Kiswahili nacho mmh. Si ajabu na wewe digba sowey ukawa na PhD!
Sawa ingawa unazidi tu kuharibu hata KIswahili lugha yetu ya taifa. Je uko tayari kuchukua tuition? Tuanze na lugha ipi kwani zote mbili zinatumika rasmi hapa nchini...English au Kiswahili?Kwa mtu msomi na muelewa huwa anakosoa na kutoa suruhu /masahihisho ni wapi mtu kakosea
Kalale usingizi huna unachojua weweLissu haamini.. hata polisi hawampi kiki! Alitegemea achokoze apigwe virungu aombe huruma kwa uma.
Kaishiwa hoja sasa anaropoka tu! Kibaya kingine hata magu kaamua kutompa airtime hata kwa kutaja jina lake.
Pia ajue kampeni zikiisha siasa za hovyo tunafunga na kurudi site kujenga nchi hivyo atumie huu muda, muda ukiisha nati inakazwa...
Magufuli amesema vitambulisho hivyo siyo vya lazima! Ni hiari kununua.Lissu anazidi kupotea njia.
Nadhani itakuwa vizuri kabla ya tuition ya lugha tuanze na tuition ya punctuation ili ujue wapi ni pa kuweka kituo na wapi pa kuweka coma. Je uko tayari?Rubbish, ain't of your level,mind your business.