Kuna ‘Makodi’ mengi sana nchi hii na hasa upande wa wajasiriamali wadogo wenye biashara za uchuuzi na kampuni ndogo ndogo mpaka za kati, watu wanapewa ‘penalty’ za ajabu ajabu na ukiangalia ni sheria ambazo kwanza mfanya biashara haambiwi mapema na kwa u wazi na mamlaka husika
Lkn ukienda kwenye makadirio ndo unaweza kufa kwa ugonjwa wa moyo utakacho kutana nacho TRA, hatukatai kulipa kodi lkn ziwe reasonable na pia elimu iwe wazi kwa mlaji/ Clients/ Customers wa TRA inakuwa kama wanataka usijue ili ukosee baadae either wakukamue watendaji ama wakishindwa huko uilipe serikali kwa wanavyotaka wao kwa makadirio yao dah
Wapinzani walisemee na hili pia ukiachia hivyo vitambulisho vya wamachinga yaani serikali na watendaji wake isiwe kama ina komoa raia wake