Jiwe chali, kakimbilia DodomaLisu bado sana! Magu ame relax kabisa tena anaendelea kutoa oda za ki Rais!
Lisu haingii hata mara moja kwa mchakamchaka wa 2015.
Mbowe muda huu anawacheka sana mnavyompa kichwa Lisu.
Mkuu kuna jambo lenu huku, jiwe kalegeaLissu haamini.. hata polisi hawampi kiki! Alitegemea achokoze apigwe virungu aombe huruma kwa uma.
Kaishiwa hoja sasa anaropoka tu! Kibaya kingine hata magu kaamua kutompa airtime hata kwa kutaja jina lake.
Pia ajue kampeni zikiisha siasa za hovyo tunafunga na kurudi site kujenga nchi hivyo atumie huu muda, muda ukiisha nati inakazwa...
Sasa mbona kalegea mapema hivyo? Kweli Mh. Tundu Antiphas Lissu kiboko cha mawe!Mkuu kuna jambo lenu huku, jiwe kalegea
Lisu bado sana! Magu ame relax kabisa tena anaendelea kutoa oda za ki Rais!
Lisu haingii hata mara moja kwa mchakamchaka wa 2015.
Mbowe muda huu anawacheka sana mnavyompa kichwa Lisu.
Wewe kaa na mabwana zako waliokutuma wambie mwisho wa ubaya ni Aibu ya Malawi Zambia kenya congo Ghana Gambia yanaenda kutokea Tanzania, hakuna mabaya yasiyo na mwisho, walikuwepo akina Bokasa, Abacha, chiluba, mabutu, Elbashiri, Gadafi, Sadam Hussein, Iddy Amin Dada leo hii wapo wapi?Sasa kama unajua CCM inatumia polisi mbona jamaa yenu lissu anahangaika sana,wakati probability ya kuupata urais ni 0%?
Si angeendelea tu kukaa kwa mabwana zake huko ubeligiji?
kupotea njia kwa kuwatetea machinga? nani kapotea njia kati ya wewe, lissu au magu?Lissu anazidi kupotea njia.
HUONI KUWA HIYO NI FAIDA?? KWENU ??🤣🤣🤣 MATAGA BHANA!🤣🤣🤣😁😁Lissu amekata tamaa ameacha siasa amekuwa mwanahatakati mpya.