cpt
JF-Expert Member
- May 19, 2010
- 1,049
- 715
Maneno ya baba wa Taifa yanaenda kutimia.
Yale ya kumuogopa kama ukoma et!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maneno ya baba wa Taifa yanaenda kutimia.
Nakubaliana na wewe. Hivi unajua Lowassa ana miaka mingapi? Kinadharia tu mtu mzee uwezo wake wa kufikiri hupungua. Mi sipingi yeye kuwa rais, ila hana uwezo wa kupambana na wala rushwa kwa sababu yeye ni mla rushwa. Kumbuka wizi kwa Lowassa ni damu damu. Na nakuhakikishia iwapo atakuwa rais, atahamia chama ambacho kakifadhili tangu mwanzo (ACT). Na CDM wataambulia patupu.Kauli ya Tundu Lissu ina mantiki. Chadema na Ukawa watakuwa na nafasi kubwa ya kuudhibiti ufisadi wa mtu mmoja Lowassa akidhihirika kuwa fisadi atakapokuwa Rais kuliko ambavyo wanaweza kuudhibiti mfumo fisadi yaani CCM yote kwa ujumla - kama ikirudi madarakani. Ninaamini Tanzania itakuwa na nafuu zaidi kama itakuwa na Lowassa kama rais pamoja na tuhuma alizonazo kuliko kuendelea kuwa chini ya CCM.
After all, mfumo unaosistiza uwajibikaji (e.g. Ukawa) ndo una nafasi kubwa ya kuleta matumaini Tanzania siyo mtu mmoja "bora" ndani ya mfumo mbovu (e.g. Magufuli). Aidha, Tanzania tukianza kuwa na siasa za ushindani wa kupokezana vijiti kwa nafasi ya urais, watu wataanza kufanya kazi na mabadiliko yataanza kuonekana.
Kamanda umekuwa mkiwa sana aisee sijui itakuaje nilivyokuwa nakusoma unavyomshambilia Lowassa.
Pole sana utafanye na wenye chama ndiyo wameishaamua.
Mtu asiyesimamia chochote basi ataanguka kwa chochote.
Nimecheka sana. Sasa sikiliza hao wana CDM wakimtetea huyo mbakaji!! So funny, never seen its only in TZ.So far Lowassa anastahili credit
anayoyafanya kwa CHADEMA ni sawa na mtu kufanikiwa kumuoa mwanamke uliewahi kumbaka na kumuulia mumewe zamani
halafu mwanamke huyo sasa yuko in love na wewe na unapeleka posa na inakubaliwa kwa vigelegele
few people can....
Nilichojifunza ni:
Mrejesho ni October 25 2015 atakapo angukia pua Lowassa na ukawa. Na ndipo atakapo pata pressure numba 2, na CHADEMA itapotea kama alivyokuwa ametabili Mzee mzima Wasira!
- Tundu Lissu ana upungufu wa akili (mpaka itakapothibitishwa).
- Dr. Slaa ana matatizo ya kurukwa na akili (Mpaka itapothibitishwa)
- Mbowe ni mwizi na muendesha chama kama saccos (hii haihitaji uthibitisho kwani kalamba bil 10)
- Wafuasi wa CHADEMA ni wavivvu wa kujisomea na wana matatizo ya mtindio wa ubongo (uthibitisho upo wa matusi kwa kila anayesema Lowassa ni fisadi ila kipindi alipokuwa CCM tulikuwa tukisema fisadi na kusema wanamsingizia walitutukana na kusema tunamlinda...refer Mnyika).
- Kitila Mkumbo na Zitto walihongwa na Lowassa (halihitaji kuthibitisha ona wanavyomsifia fisadi Lowassa)
Kwani huujui mkuu Ritz?Yapi hayo mkuu?

ongeza namba 6 hapo Mzee Mwanakijiji hasikilizwi CHADEMA licha ya kujipendekeza kuwashauri kutwa