nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,624
ccm iondoke kwanza. mengine baadae..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Politics na prostitution ...hakuna tofauti..
Yale ya kumuogopa kama ukoma et!
Hivi Lowassa akifanikiwa kuwa rais kupitia ukawa na kuwasweka kizuizini hawa wanaomkubali sasa watakuwa na haki ya kulalamika kweli?
So far Lowassa anastahili credit
anayoyafanya kwa CHADEMA ni sawa na mtu kufanikiwa kumuoa mwanamke uliewahi kumbaka na kumuulia mumewe zamani
halafu mwanamke huyo sasa yuko in love na wewe na unapeleka posa na inakubaliwa kwa vigelegele
few people can....
Hapana; ni yale ya Upinzani wa kweli utatoka ndani ya CCM