Ni heri kuchambia kura yangu kuliko kumpa uyo jamaa
Rubiikimimi[emoji85]
Ndio mkuu. Kuna watu hawakubali kutokubaliana na hao hao wanamshambulia baba J kwamba hakubali kutokubaliana sababu hiyo ndio demokrasia.
Hivi unajisafishia vipi kura? Hivi kura maana yake sio uamuzi kweli? Au una maana kubadirisha matumizi ya kadi ya kupigia kura? Ila samahani kama post yangu haitakupendeza.
Ni kweli mkuu Tundu ni kichaa mwenye kuvaa nguoNa Lowassa mkuu itakuwaje?
Lissu ni hazina ya taifa kweli
lakini asijisumbue kugombea kama tume itakuwa hii hii inayoongozwa na wahuni makada wa chama cha makuku.
Hata akisimama kama mgombea binafsi pia atashinda kama hakutakuwa na uchakachuaji wa kura. Tunahangaika kutafuta madini wakati tuna Vito vya thamani kama Antupas Tundu Lissu.
Sikuhizi kila MwanaJF ni mkazi wa jimboni kwa Lissu.
Mmh jukwaa la MMU linakufaa sio politics huwezi mama stay away from hereNi heri kuchambia kura yangu kuliko kumpa uyo jamaa
Rubiikimimi[emoji85]
Kumbe unachambia makaratasi? Khaaa!Ni heri kuchambia kura yangu kuliko kumpa uyo jamaa
Rubiikimimi[emoji85]
Hata akisimama kama mgombea binafsi pia atashinda kama hakutakuwa na uchakachuaji wa kura. Tunahangaika kutafuta madini wakati tuna Vito vya thamani kama Antupas Tundu Lissu.
lowassa alishinda kwa kura nyingi sana, na magufuli hilo analijua ndio maana ameanza kupiga kampeni mapema ili kufuta ushahidi 2020. achana na lowasaNani aliamini Edward angeshindwa urais pamoja na mafuriko yale? Slaa na umaarufu ule? I am not optimistic that Tundu atakua Rais 2020.
Mmh jukwaa la MMU linakufaa sio politics huwezi mama stay away from here
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe unachambia makaratasi? Khaaa!
Jifinze kutofautisha, msipomchagua nyinyi huko watz wengine watamchagua kwa maana wanaijua thamani yake.....Mkuu huku jimboni kwake ubunge tu wenyewe hatapita kama ccm wataweka mtu makini. 2015 alipita kwa sababu ccm waliweka mtu asiyekubalika tena alikuwa anaongea kwa dharau kwenye kampeni matokeo yake wakamtupa kwa dharau na ni ndugu yake Tundu Lisu( ukoo huo huo)
Ukweli wa aina hii, pia huitwa uchochezi....[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Kichwa maji tuMkuu kusema niko jimboni kwa Lisu hakuniongezei kitu wala kunipunguzia kitu, Mimi na wanasiasa tofauti kabisa
Ninachokueleza hali halisi ya jimboni ( singida mashariki) kwa ambae yupo huko ama ameshaishi huko ataelewa nilichomaanisha
Maneno yangu hayamaanishi namuunga mkono ama nampinga Lisu ila nimeelezea hali halisi ya jimboni kwake