Tundu Lissu for president 2020

Tundu Lissu for president 2020

Ni heri kuchambia kura yangu kuliko kumpa uyo jamaa

Rubiikimimi[emoji85]

Hivi unajisafishia vipi kura? Hivi kura maana yake sio uamuzi kweli? Au una maana kubadirisha matumizi ya kadi ya kupigia kura? Ila samahani kama post yangu haitakupendeza.
 
TL agombee kama Mgombea binafsi?
1: Atahama Chadema?
2: Anamkimbia EL?
3: Ameanza kupiga jaramba kuelekea 2020?
 
Ndio mkuu. Kuna watu hawakubali kutokubaliana na hao hao wanamshambulia baba J kwamba hakubali kutokubaliana sababu hiyo ndio demokrasia.

Hawana matusi mapya hao kubwa kwao ni nyumbu
 
Hivi unajisafishia vipi kura? Hivi kura maana yake sio uamuzi kweli? Au una maana kubadirisha matumizi ya kadi ya kupigia kura? Ila samahani kama post yangu haitakupendeza.

Kwani huo uamuzi unafikishwaga kwa njia zipi mpendwa
 
Na Lowassa mkuu itakuwaje?

Lissu ni hazina ya taifa kweli
lakini asijisumbue kugombea kama tume itakuwa hii hii inayoongozwa na wahuni makada wa chama cha makuku.
Ni kweli mkuu Tundu ni kichaa mwenye kuvaa nguo
 
Huyo Magu hakufaa kuwa rais hata kama angekuwa chadema,pamoja na uchapa kazi wake ila madhara yake yanaonekana.

Sasa vuta picha kwa jinsi Tundu lissu alivyo halafu ndiyo awe mkuu wa nchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa bila hata katiba mpya kama uchaguzi halali na wa haki Kamanda Lissu ni lazima atoboe tena kwa ushindi wa Tsunami ndiyo sababu jamaa wanahaha wakisikia jina la Kamanda Tundu Antiphas Mughwai Lissu na roho zinawaenda mbio.

[HASHTAG]#lissuthegreat2020[/HASHTAG]

Hata akisimama kama mgombea binafsi pia atashinda kama hakutakuwa na uchakachuaji wa kura. Tunahangaika kutafuta madini wakati tuna Vito vya thamani kama Antupas Tundu Lissu.
 
Hata akisimama kama mgombea binafsi pia atashinda kama hakutakuwa na uchakachuaji wa kura. Tunahangaika kutafuta madini wakati tuna Vito vya thamani kama Antupas Tundu Lissu.

Nani aliamini Edward angeshindwa urais pamoja na mafuriko yale? Slaa na umaarufu ule? I am not optimistic that Tundu atakua Rais 2020.
 
Nani aliamini Edward angeshindwa urais pamoja na mafuriko yale? Slaa na umaarufu ule? I am not optimistic that Tundu atakua Rais 2020.
lowassa alishinda kwa kura nyingi sana, na magufuli hilo analijua ndio maana ameanza kupiga kampeni mapema ili kufuta ushahidi 2020. achana na lowasa
 
Mkuu huku jimboni kwake ubunge tu wenyewe hatapita kama ccm wataweka mtu makini. 2015 alipita kwa sababu ccm waliweka mtu asiyekubalika tena alikuwa anaongea kwa dharau kwenye kampeni matokeo yake wakamtupa kwa dharau na ni ndugu yake Tundu Lisu( ukoo huo huo)
Jifinze kutofautisha, msipomchagua nyinyi huko watz wengine watamchagua kwa maana wanaijua thamani yake.....

Aliyetuloga alishakufa
 
Mkuu kusema niko jimboni kwa Lisu hakuniongezei kitu wala kunipunguzia kitu, Mimi na wanasiasa tofauti kabisa

Ninachokueleza hali halisi ya jimboni ( singida mashariki) kwa ambae yupo huko ama ameshaishi huko ataelewa nilichomaanisha

Maneno yangu hayamaanishi namuunga mkono ama nampinga Lisu ila nimeelezea hali halisi ya jimboni kwake
Kichwa maji tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanaosema kati ya ccm na jiwe wao watachagua jiwe ni wa kuwa nao makini wakikwambia unafaa kuwa rais,maana wanaweza kuwa wamekufananisha na jiwe.

Maana waliwahi kusema bora washirikiane na shetani ili kutimiza lengo lao ila walifeli,sasa isije ikawa wameamua kuligeukia jiwe.
 
Back
Top Bottom